JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Cannavaro afufua matumaini, Yanga ikiifuata Etoile

Matumani ya kufanya maajabu ugenini kwa upande wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, yamefufuka baada ya taarifa za kitabibu kusema Nahodha wa kikosi hicho, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, atakuwa fiti kuwakabili Waarabu. Yanga wanaotarajiwa kuondoka nchini kesho Jumatano kwenda…

Weusi wa Balotelli watikisa

Mshambuliaji wa Liverpool, Mtaliano Mario Balotelli, ndiye mchezaji aliyebaguliwa zaidi katika Ligi Kuu ya England, imefahamika.  Taarifa zinasema kwamba mchezaji huyo hupokea ujumbe wa aina mbalimbali katika mitandao ya Twitter, Facebook, Instagram na WhatsApp ambako jumla yake ni 8,000 kwa…

Morris, Kipre warudi Azam

Mara baada ya kuwatosa kwa muda wachezaji wake, Kipre Tchetche na Aggrey Morris, timu ya soka ya Azam FC imewarejesha haraka ili kujiweka sawa kwa ajili ya kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara.  Wachezaji hao walifungiwa kucheza mechi nne baada…

Salum Abdallah aliuza nyumba kununua vyombo vya muziki

Mji wa Morogoro ni miongoni mwa miji iliyokuwa maarufu kwa michezo na burudani katika miaka ya 1950, 1960 na ya 1970.   Watu wengi walitoka Dar es Salaam na kwenda kufanya starehe za kumaliza wiki mjini humo. Hali ya hewa…

Snake Junior ndio kama mlivyosikia

Wakati mashabiki wa ngumi wakisubiri pambano la kukata na shoka kati ya mabondia mahiri duniani, Manny ‘Pacman’ Pacquiao na Floyd Mayweather, mambo yamekuwa mabaya kwa bondia kinda wa Tanzania, Mohammed ‘Snake Jr’ Matumla. Snake Junior-mtoto wa bondia mahiri wa zamani…

Aveva apewa somo zito Simba

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Simba inashika nafasi ya tatu mbele ya kinara Yanga na Azam, lakini taarifa za ndani ya klabu hiyo, zinasema kwamba haikustahili kuwa hapo hadi sasa. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo anasema kwamba itakuwa…