Category: Michezo
Pluijm anogewa michuano ya kimataifa
Kocha wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, Mholanzi Hans van der Pluijm, amewaambia wachezaji kwamba kama wanataka kuendelea kupanda ndege na kucheza mechi za kimataifa, basi hawana budi kutwaa ubingwa wa Bara. Kocha huyo anasema anaamini wachezaji wa…
Walcot adai anaiva na Wenger
Mshambuliaji wa Arsenal 'the Gunners', Theo Walcot, anasema kuwa hajakosana na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Arsene Wenger, na kuongeza kwamba hajaanza mazungumzo ya mkataba mpya na klabu hiyo. Mkataba wa Walcot unakamilika mwaka 2016 na Wenger amesema…
Kopu amshtua Casillas, Ngassa abaniwa Yanga
Kocha Mkuu wa Simba ya Dar es Salaam, Goran Kopunovic, amekaa na kipa wa timu hiyo, Hussein Sharrif 'Casillas', na kumwambia hana budi kukaza msuli ili aanze kukaa golini kulinda lango kama zamani. “Ndiyo, nimekaa naye na kumweleza…
Okwi amtaja Marco Reus
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, amemtaja Marco Reus wa Borussia Dortmund kuwa ndiye anayefanya apige mabao ya kiufundi dhidi ya Yanga na Mtibwa Sugar, na kusababisha mabao hayo kuwa gumzo. Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni jijini Dar es Salaam…
Maskini England, haina chake 2015
Wakati mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Uropa yakiingia hatua ya robo fainali, hali imekuwa mbaya kwa England kwa mwaka huu, baada ya timu zake zote kuondolewa kwenye michuano hiyo mikubwa yenye mvuto wa aina yake Ulaya. Everton…
Phiri aifuta Simba ubingwa wa Bara
Kocha wa zamani wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, amewashauri Simba kuacha kuwaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na kuwataka kupigania angalau nafasi ya pili katika msimamo. Akizungumza katika mahojiano maalum na mwandishi wa makala hii, Phiri, aliyetimuliwa…