Category: Michezo
Bondia Zugo atwaa mkanda wa ubingwa wa dunia
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora BONDIA Abdul Zugo wa Tabora amempiga kwa KO raundi ya tatu bondia Sameer Kumar kutoka India na kuvishwa Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa Uzito wa Kati katika pambano la Kimataifa lililoandaliwa na Shirikisho la…
Bondia Zigo kuwania mkanda wa Ubingwa wa Dunia leo
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora BONDIA Abdul Zugo wa Tabora ameahidi kumpiga kwa KO bondia kutoka India, Sameer Kumar katika pambano lao la Ubingwa wa Dunia la uzito wa kati litakalofanyika kesho katika ukumbi wa Orion Hotel Mjini Tabora. Akizungumza…
NCAA yalipia mashabiki 500 mechi Taifa Stars Morocco
Na Hamis Dambaya, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imenunua tiketi 500 kwa ajili ya kulipia mashabiki 500 kuingia uwanja wa Benjamini Mkapa leo Agosti 22, 2025 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya robo fainali ambapo…
Serikali yaipongeza NMB kuchangia Mil. 30/- Taifa Stars CHAN 2024
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imeishukuru na kuipongeza Benki ya NMB, kwa mchango wa Sh. Mil. 30 iliyoutoa kuhamasisha mashabiki na wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mechi ya robo fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa…
Tanzania yaandika rekodi mpya, yatinga robo fainali michuano ya CHAN 2024
Timu ya taifa ya Tanzania imeandika rekodi mpya kutinga hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika CHAN 2024. Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Madagascar umefungua njia kwa Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Suleiman. Mabao ya Tanzania…
Serikali yanunua tiketi 10,000 kuiona Taifa Stars dhidi ya Madagascar
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amesema kuwa, Serikali imenunua tiketi 10,000 zenye thamani ya Shilingi milioni 20, kwa ajili ya mashabiki kuingia uwanjani kuishangilia Taifa Stars katika mchezo…





