JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Luis Miqquisone atimkia Songo

Isri Mohamed Siku chache baada ya kutemwa na wekundu wa Msimbazi, aliyekuwa Winga wa Simba, Luis Miquissone amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya UD do Songo kwa ajili ya msimu ujao wa 2024/25. Miquissone amerejea UD do Songo baada…

Nyota yang’ara mchezo wa kuogelea

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar ea Salaam MASHINDANO ya mchezo wa kuogelea kwa vijana yamemalizika hapo juzi kwenye bwawa la kuogelea lililopo katika Shule ya Kimataifa Tanganyika (IST) huku vijana mbalimbali wakichuana vikali. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili mara…

Tabora United yakabidhiwa kitita cha milioni 50

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora   TIMU ya soka ya Tabora United ya Mkoani Tabora imezawadiwa kitita cha sh mil 50 baada ya kufanikiwa kubakia Ligi Kuu ya NBC msimu huu kama motisha kwa wachezaji na walimu wao. Kitita hicho kimekabidhiwa…

Wenye uoni hafifu waonyeshana kazi UMISSETA

Kiwanja cha mpira wa goli kimeendelea kuwaka moto wakati timu za mchezo huo zikipimana nguvu katika michezo ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) inayofanyika Tabora. Katika mchezo uliofanyika leo katika Chuo cha Uhazili Tabora, timu ya wavulana ya…

Timu ya taifa ya kuogelea safarini Kenya 

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waogeleaji wanne wa timu ya taifa ya kuogelea wanatarajiwa kuondoka Juni 21 mwaka huu kwenda Nairobi, Kenya kushiriki mashindano yatakayofanza Juni 22 na 23, mwaka huu nchini humo.  Akizungumza na waogeleaji hao wakati akiwakabidhi…

Bashungwa CUP 2024 kuanza kurindima mwezi Julai

Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la “BASHUNGWA CUP 2024” yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika kwa miezi miwili yatazinduliwa Kata ya Iguruwa yakihusisha…