Category: Michezo
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
Bondia Hassan Mwakinyo ametangaza ujio wa pambano lake Novemba 16, mwaka huu la kutetea mkanda wa Afrika wa WBO huku akitamba kuwa yuko tayari kumlaza mtoto wa mtu chini. Mwakinyo licha ya kutangaza ujio huo hajaweka hadharani mpinzani wake lakini akionekana…
Injinia Hersi anyakua tuzo Afrika
Rais wa Timu ya mpira wa miguu, Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi Ally Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango katika maendeleo ya mpira wa miguu Barani Afrika katika tuzo za Nigeria-France Sports…
RC Manyara ataka michezo kutumika kukuza Uhifadhi na Utalii
Na Mussa Juma, JamhuriMedia, Babati Mkuu wa Mkoa Manyara, Qeen Sendika ametaka sekta ya michezo mkoa Manyara kuendelea kutumika katika kukuza Utalii na uhifadhi wa mazingira na wanyamapori. Sendeka alitoa agizo hilo katika fainali ya michuano ya Chemchem CUP 2024…
Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuelekea mechi ya Simba na Yanga
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litachukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada ya mchezo Usalama utakuwa wa kiwango cha juu siku ya mchezo wa mpira wa miguu kati…
Kayoko akabidhiwa Simba vs Yanga
Na Isri Mohamed BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa refa atakayesimamia sheria 17 za mchezo wa soka kwenye Derby ya Kariakoo itakayopigwa Jumamosi, Oktoba 19, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa….
Tuchel achaguliwa kuwa kocha Mkuu England
Chama cha soka Nchini England (FA) kimetangaza Thomas Tuchel kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa hilo kwa mkataba wa miezi 18 kuanzia Januari 2025 ambao utambakisha kwenye hatamu mpaka mwishoni mwa kombe la Dunia 2026. Tuchel (51) raia wa…





