Category: Michezo
Taifa Stars yaanza vyema michuano CHAN, yaichapa Burkina Faso 2-0
Timu ya Taifa ya Tanzania, maarufu kama ‘Taifa Stars’ imeanza vyema kampeni zake katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina…
Matukio mbalimbali katika sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN
Picha za matukio mbalimbali katika Sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN 2024, leo Agosti 02, 2025, ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inachuana na Burkina Faso, katika Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Taifa Stars kuvuna bil 1/- ikitwaa CHAN 2024
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutoa zawadi ya sh bilioni moja kwa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars, iwapo itatwaa ubingwa wa michuano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 inayopangwa kuanza Agosti 2 hadi 30 ikiandaliwa kwa…
Mchezaji Fadhil Nkya atwaa ubingwa Lina PG Tour kwa mara ya sita mfululizo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MCHEZAJI wa kulipwa kutoka Gymkhana Dar es Salaam, Fadhil Nkya ameibuka mshindi kwa mara ya sita mfululizo katika mashindano ya gofu ya Lina PG Tour yaliyomalizika jana na kujinyakulia kitita cha Shilingi milioni…
Tanzania mwenyeji ufunguzi wa ‘African Nations Championship’ Chan
-Mtanange wa ufunguzi kupigwa uwanja wa Benjamini Mkapa kuanzia Aug 2, 2025 Jijini Dar es Salaam. Ikiwa ni maandalizi kuelekea michuano ya “African Nations Championship” CHAN Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 21,2025 amekutana…
Mashindano ya LINA PG TOUR yaanza kurindima Dar, wachezaji 150 kushiriki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MASHINDANO ya gofu ya kumuenzi nyota wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake, marehemu Lina Nkya, yameanza kwa kishindo katika Viwanja vya Lugalo, jijini Dar es Salaam, huku wachezaji 150 kutoka kona…