JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

JK awapongeza Ali Kiba,Mbwana Samatta, awapa ushauri

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewapongeza mwanasoka wa kulipwa wa kimataifa Mbwana Samatta na mwanamuziki nyota Ali Kiba kwa kuanzisha na kuendesha taasisi isiyo ya kiserikali ya SAMAKIBA Foundation ambayo kila mwaka imekuwa…

Baobab Queens kuwa timu ya wanawake ya Azam FC

Uongozi wa Azam FC umeingia makubaliano na timu ya mpira wa miguu ya wanawake kutoka Dodoma, Baobab Queens na rasmi itakua ni timu ya wanawake ya Azam FC. Azam wamefikia makubaliano hayo ili kutekeleza agizo la kikanuni la leseni za…

Taifa Stars yafufua matumaini AFCON 2023

Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam Timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars imeicharaza timu ya Niger goli 1-0 na kufufua matumaini ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2023 nchini Ivory Coast. Saimon Msuva mfungaji wa…

Tanzanite yaibuka ushindi wa vikapu 69-34 dhidi ya timu ya Taifa ya Eritrea

Na Brown Jonas Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34 vya Timu ya Taifa ya Eritrea. Mchezo huo wa ufunguzi wa kufuzu mashindano…

Serikali kujenga kiwanja kipya cha michezo jijini Arusha

Na Eleuteri Mangi, WUSM, Arusha Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili kuandaa…