Category: Michezo
Simba yaichapa Asante Kotoko
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Al Hilal mjini Khartoum nchini Sudan. Mabao ya Simba SC yamefungwa na viungo, Mghana Augustine Okrah dakika ya…
Taifa Stars yajiweka njia panda kufuza CHAN 2023
Timu ya Taifa Stars imejiweka njia panda kufuzu Michuano ya Wachezaji wa ndani (CHAN) mashindano yatakayofanyika nchini Algeria 2023 baada ya kuchapwa bao 1-0 na Uganda mchezo uliopigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Akitokea benchi Mshambuliaji…
Wadau wachangia bil.1.26/- kumuunga mkono Rais Samia kuzisaidia timu
Wadau wa michezo nchini wamechanga jumla ya sh. bilioni 1.26 ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuzisaidia timu za Serengeti Girls na Tembo Warriors ambazo zinapaswa kushiriki michuano ya kimataifa huko India na Uturuki. “Kikao hiki…