Category: Michezo
Rais Samia ampongeza Alphonce kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania
Repost from @samia_suluhu_hassan•Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon). Umefanya kazi nzuri. Ushindi wako ni matokeo ya kujituma kwa bidii, maandalizi mazuri, nidhamu yako kuanzia jeshini,…
NMB yakabidhi vifaa vya michezo vya milioni 19 kwa timu za JWTZ
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeishukuru Benki ya NMB kwa namna inavyojitoa kuunga mkono Sekta ya Michezo ndani ya jeshi hilo, kwa kufadhili na kuwezesha ushiriki wa Timu za Majeshi katika michuano…
Yanga yaichapa Stand United 8-1, yatinga nusu fainali Kombe la Shirikisho
Mabingwa Watetezi, Yanga SCÂ imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 8 -1 dhidi ya Stand United katika…
Fedha zilizokusanywa Bunge Marathoni zinatumika ipasavyo – Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania fedha zilizokusanywa katika mbio za hisani za Bunge zitakwenda kutumika kama ilivyokusudiwa. Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 12, 2025) katika mbio za hisani za Bunge zilizolenga kuchangisha fedha za ujenzi wa Shule ya Sekondari…