JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

CRDB yawataka wananchi kuchanja kidigitali ili kushinda safari ya kungalia kombe la Dunia

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Benki ya CRDB imewataka wananchi kuchanja kidital ili kushinda safari ya kwenda kungalia kombe la Dunia Akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi wa wateja wadogo na wakati Boniventure Paul ,alipokuwa akizindua kampeni ya…

Simba, Yanga nguvu moja

Watani wa jadi Simba SC na Yanga SC wamefanikiwa kutoka sare tasa ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo, Machi 1, 2026, katika Uwanja wa Amani, Visiwani Zanzibar. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa, huku…

Kocha Gamondi rasmi kuinoa Stars

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, ameweka wazi kuwa, Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Waziri Makonda amesema hayo wakati akizungumza na…

Mashindano ya Ligi ya Muungano yaimarisha undugu, umoja na mshikamano kwa Watanzania

Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) imesema itaendelea kutumia sekta ya michezo ili kujenga mahusiano ya undugu, ujamaa, umoja na mshikamano ili kuenzi misingi ya Muungano. Rai hiyo imetolewa leo Ijumaa (Januari 23, 2026) na Katibu Mkuu wa…

Yanga yatwaa Kombe la Mapinduzi Cup kwa penati 5-4 dhidi ya Azam FC

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC (Yanga), wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa NMB Mapinduzi Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 5–4 dhidi ya Azam FC, katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Januari 13,…

Gabon yatimua timu nzima kufuatia matokeo mabaya ya AFCON

Waziri wa michezo wa Gabon ametangaza kupigwa marufuku kwa wachezaji wakongwe Pierre-Emerick Aubameyang na Bruno Ecuele Manga, kusimamishwa kwa timu nzima ya taifa, na kufutwa kazi kwa benchi la ukufunzi. Hii ni kufuatia matokeo mabaya ya Gabon katika Kombe la…