JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Sarri bado ‘yupo yupo’

Mashabiki na wapenzi wa Chelsea wanashindwa kumuelewa Kocha wa timu yao, Mtaliano Maurizio Sarri (Garimoshi), kutokana na timu hiyo kushindwa kufanya vizuri katika mechi zake za hivi karibuni. Chelsea imeanza kusuasua katika mzunguko huu wa pili wa ligi katika mechi…

Yanga yaweka ubingwa rehani

Na Khalif Mwenyeheri Yanga imeshindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zake za hivi karibuni na kuifanya timu hiyo kupunguza nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), hali hiyo inawafanya Yanga kuwa na kazi kubwa ya kufukuzia ubingwa. Katika…

Ambokile amefungua njia

Mchezaji wa zamani wa Mbeya City, Eliud Ambokile (pichani), wiki iliyopita alisafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kujiunga na timu ya Black Leopards inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo kwa mkopo wa miezi mitatu. Katika maisha ya soka…

Kichwa cha mwendawazimu?

Nini kifanyike kuhusu timu za hapa nchini? Pengine ndilo linaweza kuwa swali kwa wadau wa soka. Mashindano ya SportPesa yalimalizika juzi huku tukishuhudia klabu kutoka nchi jirani zikichuana kwenye fainali. Katika mashindano hayo ambayo Yanga ilitolewa mapema tu na Kariobangi…

Wakati mgumu makocha EPL

Na Khalif Mwenyeheri   Ikiwa ni takriban mechi nne zimechezwa tangu kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), hivyo kila timu ikiwa imecheza jumla ya mechi 22, huu ndio wakati ambao bodi za klabu zinazoshiriki ligi…

Vee Money: Aachana na Sheria, afanya muziki 

Inawezekana ukawa haufahamu historia ya msanii, Vanessa Mdee (Vee Money). Kupitia makala hii una nafasi ya kutambua alikozaliwa, alivyoanza muziki na hata mafanikio yake aliyoyapata kupitia tasnia hiyo ya muziki wa Bongo Fleva. Vee Money alizaliwa Juni 7, 1988 jijini…