Category: Michezo
Simba kumekucha
Ni shangwe kila kona ya nchi, mabingwa wa soka wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/2018, Simba SC imetoa zawadi ya Sikukuu ya Mapinduzi kwa Watanzania. Simba imeiadhiri JS Saoura ya Algeria katika mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika…
Zahera asimamia nidhamu Yanga
Ukienda mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga utawakuta viongozi, mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo hawana presha yoyote kuhusiana na mwenendo wa timu yao, wanakunywa tu kahawa. Wanaamini Kocha Mkuu…
CAF yaiomba Afrika Kusini wenyeji AFCON
Karne ya 21 ina mambo mengi yanayogonga vichwa vya habari duniani, achana na kifo cha Rais wa 41 wa Marekani, George H.W. Bush, ambaye mazishi yake yamefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Achana na habari ya Bernard Membe na CCM yake,…
Drogba atundika daruga
Mchezaji nyota kutoka Ivory Coast aliyeng’ara akiwa na Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Didier Drogba, amestaafu kucheza soka baada ya miaka 20 ya hekaheka uwanjani. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 40, ameichezea Chelsea mara mbili tofauti na kufunga jumla…
Nani kuibuka mchezaji bora Afrika?
Wachezaji watano wamependekezwa kuwania tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora wa soka barani Afrika mwaka 2018. Wachezaji wote wanacheza soka la kulipwa barani Ulaya. Wachezaji walioorodheshwa mwaka huu ni Medhi Benatia (Morocco), Kalidou Koulibaly (Senegal), Sadio Mane (Senegal), Thomas Partey…
Valencia alia na Mourinho
Nahodha wa Klabu ya Manchester United, Antonio Valencia (33), amesema Meneja wake, Jose Mourinho, amemnyang’anya kitambaa cha unahodha bila sababu ya msingi. Amesema Mourinho alisingizia kwamba yeye ni majeruhi, jambo ambalo si kweli, huku akisema huo ulikuwa ni uamuzi binafsi wa…