Category: Michezo
Hatima ya Nigeria Kuvuka Hatua ya Makundi Kujulikana Leo Dhidi ya Iceland
Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea kushika kasi tena ambapo Afrika itakuwa inawakilishwa na Nigeria itakayokuwa kibaruani dhidi ya Iceland. Matumaini pekee ya Nigeria kuendelea kusalia kwenye michuano hiyo yataonekana leo endapo itaibuka na ushindi wa mabao mengi…
Kimahesabu Argentina Ishatoka kwenye Hatua ya Makundi Kombe la Dunia
Kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kimeshindwa kutamba mbele ya Croatia baada ya kukumbana na kichapo cha mabao 3-0. Mabao ya mchezo huo wa kundi D yaliwekwa kimiani na Luca Modric, Ivan Rakitic na Ante Rebic. Kufuatia kichapo hicho…
REKODI YA YANGA SC TANGU AONDOKE LWANDAMINA
Hapa nimekuwekea michezo na Matokeo yote waliyoyapa yanga baada ya Kuondoka kocha wao Lwandamina Aprili 11, 2018; Yanga 1-1 Singida United (Ligi Kuu Dar es Salaam) Aprili 18, 2018; Welayta Dicha 1-0 Yanga SC (Kombe la Shirikisho) Aprili 22,…
Deogratius Munishi ‘Dida’: Sina Mpango Kurudi Kucheza Soka Bongo
KIPA wa zamani wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kurejea kucheza tena nchini katika timu yoyote ya Ligi Kuu Bara ikiwemo Yanga kwa kuwa anataka kufika mbali zaidi katika upande wa soka la kulipwa. Dida…
Yanga Yapania Kushinda Mechi zote Zilizobakia
Baada ya kusalimu amri kwa kuipa nafasi Simba ya kuutwaa ubingwa wa ligi msimu huu, Yanga wamesema watapambana kushinda mechi zote zilizosalia. Kupitia kwa Afisa wa Habari wa Yanga, Dismas Ten, ameeleza kuwa Yanga inahitaji heshima ya kushinda mechi zote…
SIMBA SC KAZINI LEO KUUMANA LIPULI FC
Kikosi cha Simba kinashuka dimbani Uwanja wa Samora mjini Iringa kikiwa mgeni dhidi ya Lipuli. Simba itakuwa inacheza bila kiungo wake Jonas Mkude ambaye atakosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Mkude atalazimika kusubiri mechi dhidi ya…