Category: Siasa
Rais chukua hatua, nchi inamalizwa
Watu wengi wameshtushwa na habari kwamba Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imetumia Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho kwa kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.
Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii
Tuwe makini kuelimisha wananchi Katiba Mpya
Tayari Bunge Maalumu la Katiba limepitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Rasimu hiyo iko tayari kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura baada ya kupata akidi ya theluthi mbili iliyotakiwa kisheria kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.
Wanaoiponda UDA wamekosa uzalendo
Tumetafakari kwa kina juu ya taarifa zinazolaumu “Serikali kubariki ufisadi wa UDA.” Lawama hizo hutolewa na Watanzania wachache sana wanaopinga Kampuni ya wazawa ya Simon Group kuuziwa hisa za UDA.
Hoja za msingi malalamiko hayo ni kwamba Simon Group haikufuata taratibu na sheria, na pia kwamba haikuzingatia thamani halisi ya shirika hilo. Tunachofahamu sisi kwa sasa ni kwamba uuzwaji huo uko sahihi na hakuna kinachoweza kubadilika, kwani taratibu na sheria zote zilizingatiwa kikamilifu wakati wa uuzaji wa hisa za UDA kwa Simon Group.
Ahsante TMF, Kazi ipo kwetu
Miongoni mwa habari zilizopamba gazeti hili leo ni taarifa ya Mfuko wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), kutoa ruzuku ya Sh. bilioni 1.7 kwa vyombo vya habari 16.Awali ya yote tunaupongeza mfuko huo kwa namna inavyoratibu shughuli zake na…
UKAWA mwaweza kuchagua vita, amani
Kwa muda wa miaka mitatu nchi yetu imeshuhudia mnyukano wa mchakato wa kupata Katiba mpya. Mnyukano huu ulianza rasmi mwaka 2011 Rais Jakaya Kikwete alipotangaza kuandikwa kwa Katiba mpya. Tangazo la Rais Kikwete lilianzisha mchakato wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ambayo hatimaye imelifikisha taifa katika kupata rasimu.
- Tanzania, Singapore kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia
- Rais Alhaj Dk Mwinyi ahimiza huruma na mshikamano
- Serikaki yadhamiria kumaliza changamoto ya usafiri Dar es Salaam
- HESLB inavyoshirikiana na wadau kuwawezesha wanafunzi kujitegemea kiuchumi
- Serikali yawashauri wananchi kuchukua tahadhari na kujikinga dhidi ya magonjwa mbalimbali
Habari mpya
- Tanzania, Singapore kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia
- Rais Alhaj Dk Mwinyi ahimiza huruma na mshikamano
- Serikaki yadhamiria kumaliza changamoto ya usafiri Dar es Salaam
- HESLB inavyoshirikiana na wadau kuwawezesha wanafunzi kujitegemea kiuchumi
- Serikali yawashauri wananchi kuchukua tahadhari na kujikinga dhidi ya magonjwa mbalimbali
- Fedha za miradi kimkakati ni kichocheo cha ajira na uchumi jumuishi
- Rais Samia aungana na waumini kumuaga Kardinali Pengo
- NMB yatoa bilioi 12.4 kwa wafanyabiashara 6,011
- Mfumo wa kidijitali wa elimu waamsha matumaini kufikia Dira ya Maendeleo 2050
- Rais Samia azungumza na mkuu wa WHO Kanda ya Afrika Prof. Janabi
- Jafo aendeleza Kampeni ya ‘Kila Mtu Atibiwe Kwao’ Kisarawe
- TRA yaja na utaratihu mpya wa ukusanyaji kodi bandari ya Bagamoyo
- Prof. Shemdoe ataka mageuzi ya uchumi wa vijijini kuhusisha uchumi wa buluu, ufugaji na mazao yake
- Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji
- Rais Samia ateta na Balozi wa Singapore nchini Tanzania