JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Tusipuuze mauaji ya Kibiti

Leo gazeti hili la JAMHURI limechapisha taarifa za Jeshi la Polisi kutangaza orodha ya watu 11 wanaotuhumiwa kufanya mauaji huko wilayani Rufiji. Mauaji haya yanafanywa kwa utaratibu wenye kutia shaka. Hawauawi wananchi wa kawaida. Wanauawa viongozi. Hadi sasa viongozi wapatao…

Wizara ya Elimu ijitathmini suala la vitabu vya kiada na ziada

Wakati Serikali ikiendelea kutekeleza mpango wa elimu bure kuanzia awali mpaka kidato cha nne, mradi ambao unaigharimu serikali takribani Sh bilioni 19 kila mwezi, imebainika vitabu vya kiada na ziada zinavyosambazwa na serikali vimejaa makosa.   Tayari wizara hiyo imeshasambaza…

Uhuru wa Habari uheshimiwe

Kesho, Mei 3 waandishi wa habari Tanzania wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Ilianza kuadhimishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na tamko la Windhoek, lililotolewa na waandishi wa Afrika kutetea uhuru…

Tuilinde sera yetu

Siku ya Jumamosi iliyopita imekuwa nzuri kwa wafuatiliaji siasa na sera. Rais John Magufuli ametoa mwelekeo wa mabadiliko ya sera kubwa mbili, moja ikiwa ni Sera ya Mambo ya Nje, na ya pili ikiwa ni ya elimu ya juu. Vyuo…

Serikali idhibiti magenge ya utekaji

Wiki iliyopita habari kubwa kwenye vyombo ya habari ilikuwa ni kutoweka/kutekwa kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ ambaye hata hivyo alipatikana siku ya Jumamosi. Wakati Roma akiwa kusikojulikana na kuzua sintofahamu miongoni mwa wanafamilia yake,…

Rais Magufuli ana hoja

Wiki iliyopita, Rais John Mafuguli alifanya ziara ya ghafla katika Bandari ya Dar es Salaam. Kati ya vitu alivyovikuta ni pamoja na makontena 20 ya mchanga unaopelekwa nje ya nchi kuchenjuliwa. Baadaye idadi ya makontena iliongezeka kufikia 263. Makontena hayo…