Category: Maoni ya Mhariri
Tusibishanie zika
Wiki iliyopita, baadhi ya vyombo vya habari viliripoti taarifa ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kuhusu kuwapo kwa ugonjwa wa zika hapa nchini. Taarifa hiyo ya utafiti wa NIMR, ilitolewa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu…
Serikali ikate mzizi wa fitna Loliondo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuendelea na ziara yake mkoani Arusha, baada ya kuikatiza kutokana na majukumu mengine ya kitaifa. Mkoa wa Arusha, kama ilivyo mikoa mingine nchini, ina rasilimali muhimu kwa ajili ya uchumi wa Taifa letu. Ukiacha kilimo,…
Tumetimiza miaka 5
Leo ni siku yenye umuhimu wa pekee kwa Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wazalishaji wa Gazeti la JAMHURI. Leo tumetimiza miaka mitano (5) tukiwa sokoni tangu tulipochapisha nakala ya kwanza ya Gazeti la JAMHURI siku ya Desemba 6, mwaka 2011….
Serikali izifuatilie shule binafsi
Habari kuu tuliyoichapisha katika toleo la leo inahusu mgogoro kati ya wazazi na wamiliki wa shule za Al-Muntazir. Shule hizi ambazo ni za awali, msingi na sekondari zinamilikiwa na Khoja Shia Ithnasheri Jamaat ya Dar es Salaam. Shule hizi zimejiwekea…
Tunausubiri uchunguzi malipo hewa Jeshi la Polisi
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa kumekuwa na sintofahamu kwa wahasibu raia, wanaohudumu katika vyombo vya ulinzi na usalama. Rais John Magufuli aliagiza waondolewe, ili kuleta maboresho katika utendaji kazi. Tunaamini Rais Magufuli alifikia maamuzi hayo baada ya kuambiwa kwamba…
ATCL karibuni tena angani
Serikali imezindua ndege mbili za Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) zinazotarajia kuanza kufanya safari zake katika mikoa mbalimbali nchini. Ndege hizo aina ya Q400 zimetengenezwa na kampuni ya Bombardier iliyoko nchini Canada. Baada ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha…