Category: Maoni ya Mhariri
Bandari kutaneni na wadau kunusuru uchumi
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na minong’ono kuhusu kupungua kwa shehena ya mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, hali hiyo imeendelea hata baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuitembelea bandari mwishoni mwa…
Polisi wakiwa matapeli, wananchi wafanyeje?
Habari iliyochukua uzito wa juu kwenye gazeti hili toleo la leo inahusu vitendo vya utapeli kwenye biashara ya madini. Jambo la kusikitisha ni kusikia kuwa kwenye genge la matapeli hao wamo watumishi wa Serikali, hasa kutoka Jeshi la Polisi. Hizi…
Rais Magufuli turudi msitarini
Katika siku za karibuni kumekuwa na mtanziko mkubwa wa kisiasa nchini, huku Rais John Magufuli akizidi kusisitiza kwamba muda wa kufanya siasa umekwisha kilikochoko ni kusaidia wananchi kufikia maisha bora wanayostahili. Huku Rais Magufuli akisema hayo, chama kikuu cha upinzani…
Bunge kuna matatizo
Kwa wiki kadhaa tumekuwa tukiandika habari zinazohusu ufisadi, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Ofisi ya Bunge. Habari hizo zilipoanza kuchapishwa katika JAMHURI, haraka haraka Bunge likajitokeza kukanusha, ingawa kimsingi hakuna kilichokanushwa zaidi ya kuthibitisha kile tulichokiandika. Kuna…
Serikali kuhamia Dodoma muhimu
Wiki iliyopita Rais John Pombe Magufuli, ambaye sasa ni Mwenyekiti wa CCM ametoa ahadi nzito kuwa atahakikisha Serikali inahamia Dodoma katika kipindi cha miaka minne ijayo. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),…
Bandari safisha wahalifu
Kwa muda wa miaka minne sasa gazeti hili la JAMHURI limekuwa likiandika habari za uozo katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Katika maandishi hayo tumebainisha suala la upotevu wa makontena, vibarua hewa, usitishaji wa matumizi ya flow meter za mafuta,…