Category: Maoni ya Mhariri
Bandari ijenge uchumi
Tanzania ni nchi yenye bahati. Bahati yake inafahamika si kwa nchi yetu tu bali hata kwa wakoloni waliopata kututawala. Tanzania imetokana na Muungano wa nchi za Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Katika mkutano wa Berlin, wa mwaka 1884/85,…
Mwitikio huu ulipaji kodi unastahili kupongezwa
Wananchi wameitikia mwito wa ulipaji kodi kwa mujibu wa sheria. Kwa namna ya pekee, mamia kwa mamia ya wananchi wameonekana katika ofisi za Serikali za Mitaa na Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) nchini kote wakiwa kwenye misururu kwa…
Uingereza, Marekani zijitathimini
Wiki iliyopita Taifa la Uingereza limepiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Jumuiya ya Ulaya (EU). Hoja zilizotumiwa na wahafidhina kufikia uamuzi huo ni kwamba wageni wengi wanaingia nchini Uingereza na hivyo kuchukua nafasi zao za ajira. Suala jingine wanasema…
Siasa za vyuo vikuu zinaashiria hatari
Tunatambua na kuheshimu haki ya kila Mtanzania ya kushiriki siasa. Siasa katika mfumo wa vyama vingi zina changamoto ambazo Taifa lisipokuwa makini linaweza kujikuta watu wake wakigawanyika. Kinachoendelea sasa katika vyuo vikuu si kitu cha kufumbiwa macho. Mamia kwa maelfu…
Bajeti irekebishwe
Wiki iliyopita, Serikali imewasilisha bajeti yake bungeni. Bajeti hii imetangaza maeneo mengi ya kuboresha uchumi wa nchi hii. Imetangaza uwekezaji mkubwa katika reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara za kisasa, ununuzi wa meli, kuweka mazingira bora ya uwekezaji, upimaji…
Mauaji yanayofanywa si silka ya Watanzania
Watu wachache wasioitakia mema nchi yetu wameanza kuchafua sifa nzuri tuliyojipatia kwa miongo mingi. Mauaji ya albino, vikongwe na ajuza; na sasa haya ya kuchinja watu ndani ya nyumba za ibada na katika makazi, si ya kuvumiliwa hata kidogo. Taarifa…