JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Serikali iwezeshe wanahabari

Vyombo vya habari nchini vinafanya kazi ya kuibua uozo. Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kuwa kila vinapogusa vyombo vya habari inafuatilia na kubaini kuwa kuna uozo. Vyombo vya habari kwa muda mrefu vimekuwa…

Haya ya CCM ni aibu

Kila mara Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetamba kwamba ndicho baba wa mageuzi nchini Tanzania. Kinasema kuwa mwaka 1992, licha ya asilimia 80 ya Watanzania kutaka Taifa letu liendelee kuwa na mfumo wa chama kimoja cha siasa, ndicho kilichopindua maoni hayo…

Asante Rais Magufuli kutambua wanahabari

Jumamosi iliyopita, Rais John Pombe Magufuli alivisifia vyombo vya habari. Alisema habari zinazotangazwa na vyombo vya habari zinaisaidia mno Serikali kuboresha utendaji wake. Kwa maneno mazito, Rais Magufuli alisema: “Mmetusaidia sana Serikali hii, naomba msichoke. Naomba msichoke. Mnatoa elimu ya…

Serikali sasa itoe mwongozo elimu bure

Tangu shule zimefunguliwe Januari, mwaka huu na Serikali kuanza kutekeleza sera ya elimu bure darasa la kwanza hadi kidato cha nne, kumetokea mambo mengi.   Tumesikia wakuu wa shule katika maeneo kama Mwanza, Kagera na Kilimanjaro wakifukuzwa kazi kwa kuchangisha…

Operesheni Tokomeza II huu ndiyo wakati wake

Majangili wamedungua helikopta, mali ya asasi ya Friedkin Conservation Fund yenye uhusiano wa moja kwa moja na kampuni ya uwindaji wa kitalii ya TGT na kumuua rubani raia wa Uingereza. Tukio hilo limeripotiwa katika eneo la Pori la Akiba la…

Hatuna ugomvi na Kikwete

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukichapisha habari zinazoruhusu Taifa letu. Hii ndiyo imekuwa kazi yetu kubwa kwa mwaka huu wa tano wa uhai wa Gazeti la JAMHURI. Wasomaji wetu wanatambua namna tulivyoandika habari ‘nzito’, zikiwamo za wale ‘wasioandikika’ kuanzia kwenye…