Category: Siasa
Kaaya abisha hodi Arumeru
Elirehema Moses Kaaya ni mwanasiasa asiyekata tamaa. Ni kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) anayeamini katika falsafa, itikadi, katiba na imani ya chama hicho japo anakerwa mno na masuala yanavyokwenda ndani ya chama hicho tawala na kikongwe nchini. Amegombea ubunge…
Wa kuiokoa CCM ni Lowassa
Utafiti nilioufanya kwa takribani miaka miwili kuanzia Aprili 2013 hadi sasa juu ya hali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), nimebaini mambo mengi, lakini kwa makala ya leo nitagusia tu aina ya kiongozi atakayefaa kukiongoza baada muhula wa Rais Jakaya Kikwete…
Huu sasa ni mparaganyiko
Ningali nakumbuka siku niliposikia neno hili “MPARAGANYIKO”. Mara ya kwanza, sikulielewa. Ilikuwa mwaka 1979 kama mwezi Aprili hivi, nikiwa nafanya kazi Visiwani Zanzibar katika vikosi vya SMZ. Niliwajibika kuwamo katika misafara ya ziara za Rais visiwani. Siku ya siku, kulikuwa…
Yah: Bidhaa feki na soko huru la Tanzania bila kipingamizi
Tangu nilipozaliwa hadi leo, sijapata kujiridhisha kama kweli naweza kula kitu ambacho kimetengenezwa kwa kemikali na mbwembwe nyingine, lakini kikawa na afya na virutubisho vya kweli katika mwili wangu. Sijawahi kufikiria kuwa naweza nikapata huduma mbalimbali kwa njia ya mkato…
ACT – Wazalendo, CKU – Tanzania vije na dira
Ni hivi karibuni, Watanzania tumeshuhudia kuanzishwa na kupokelewa vyama viwili vipya vya siasa nchini. Vyama hivyo ni Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) na Chama Cha Kijamaa na Uzalendo (CKU-Tanzania). Vyama hivyo vimepokewa na kusajiliwa rasmi na Msajili wa Vyama…
Kwanini wanaume wengi hujinyonga?
Utafiti umeonesha kuwa wanaume wenye umri kati ya 40-50 wamo katika hatari kubwa ya kujinyonga ikilinganishwa na wanawake. Kijana mmoja kutoka England, Simon Jack, amefanya utafiti huo baada ya baba yake kujiua katika siku yake ya kuzaliwa miaka 25…