Category: Siasa
Watanzania tuzienzi kauli hizi za Nyerere
Miaka 14 imepita tangu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki dunia. Ameiacha dunia ikiwa katika mapambano, misuguano na vita kali ya maneno na silaha kati ya wanyonge na wenye nguvu kuhusu uonevu, dhuluma, haki na ukweli.
MUSSA ZUNGU AZZAN: Injinia wa ndege aliyejikita katika siasa
*Barabara duni Ilala zamnyima usingizi Amejikita zaidi katika masuala ya siasa, lakini taaluma yake ni ujuzi na maarifa ya kuunda, kutunza, kutengeneza na kuongoza mitambo ya ndege. Unaweza kumwita injinia wa ndege. Huyu si mwingine bali ni Mussa…
Yah: Tunahitaji utashi, si lazima kuishi kama kenge
Kuna wakati huwa najiuliza maswali mengi ambayo kimsingi naona yanajibiwa na idadi kubwa ya shule za misingi, sekondari na vyuo vikuu vilivyopo. Najiuliza tuna wasomi wangapi?
Chakula cha bure: Falsafa ya Pinda!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuhakikisha inaisimamia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ili igawe chakula cha bure kwa kaya 20,000 zinazoishi katika Tarafa ya Ngorongoro.
Vijana na makundi matatu ya uongozi
Mwaka 1974 hadi 1978 nilikuwa Katibu Mkuu wa kwanza miongoni mwa waasisi wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Kinondoni (KIFA), Dar es Salaam. Mwaka 1976 Katibu wa wanachuo, Chuo cha TANU Kivukoni, na Katibu wa TANU (Radio Tanzania Dar es Salaam-RTD) kazini.