Category: Siasa
Yah: Tunahitaji utashi, si lazima kuishi kama kenge
Kuna wakati huwa najiuliza maswali mengi ambayo kimsingi naona yanajibiwa na idadi kubwa ya shule za misingi, sekondari na vyuo vikuu vilivyopo. Najiuliza tuna wasomi wangapi?
Chakula cha bure: Falsafa ya Pinda!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuhakikisha inaisimamia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ili igawe chakula cha bure kwa kaya 20,000 zinazoishi katika Tarafa ya Ngorongoro.
Vijana na makundi matatu ya uongozi
Mwaka 1974 hadi 1978 nilikuwa Katibu Mkuu wa kwanza miongoni mwa waasisi wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Kinondoni (KIFA), Dar es Salaam. Mwaka 1976 Katibu wa wanachuo, Chuo cha TANU Kivukoni, na Katibu wa TANU (Radio Tanzania Dar es Salaam-RTD) kazini.
Kijiji chachomwa kumpisha Mzungu
*Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa wapuuzwa na viongozi
*Wanaopinga kuhama wabambikiwa kesi mahakamani
*Mwanamke afungwa miezi 6 jela, mtoto alelewa na bibi
Wananchi kadhaa katika eneo la Maramboi, Kijiji cha Vilima Vitatu, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, hawana makazi baada ya nyumba zao kuchomwa moto ili kumpisha mwekezaji raia wa Ufaransa.