Category: Siasa
Sisi Waafrika weusi tukoje? (5)
Ili Waafrika weusi sisi tupate maendeleo katika nchi zetu, hatuna budi kujitafiti na kujitambua upungufu wetu wote. Upungufu wa kutamani kuwa kama Mzungu au Mwarabu haujaondoka katika fikra zetu ingawa wakoloni hawapo; lakini kwa mazoea yetu sisi Mzungu ni wa kuogopwa tu.
KAULI ZA WASOMAJI
Serikali isiwadhulumu wastaafu
Ukweli ni kwamba ni laana kubwa kwa Serikali kudhulumu malipo ya fedha za wazee wastaafu, walioitumikia nchi hii katika nyanja mbalimbali.
Msomaji
* **
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Umaskini wa fikra mbaya sana
“Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo (fikra), ni umaskini mbaya sana. Mtu mwenye akili akikwambia neno la kipumbavu ukalikubali, anakudharau.”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
***
Lissu: Tume ya Katiba ni ulaji
*Asema wanatumbua fedha, watengewa fungu la Ukimwi
Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wa Wizara ya Katiba na Sheria, Tundu Lissu, wiki iliyopita aliwasilisha bungeni maoni ya Kambi hiyo, na kueleza namna Tume ya Mabadiliko ya Katiba inavyofuja fedha.
Bima: Mahakama imechukua milion 826
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limetoa ufafanuzi wa malipo ya Sh milioni 826 kwa mdai wake, S & C Ginning Co. Limited. Mkurugenzi Mtendaji wa NIC, Justine Mwandu, amesema katika majibu ya maandishi kwa Gazeti la JAMHURI kuwa wamelipa fedha hizo kutekeleza amri halali ya Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara.
Bunge lisifanyie mzaha matumizi ya fedha za rada
Nianze kwa kuwaomba kila mbunge anayetambua kuwa amechaguliwa na wanyonge na maskini wa Tanzania ili atetee maslahi yao na ya watoto wao, asome kwa makini makala haya kisha achukue hatua.