Category: Siasa
CCM Ijitenge na Siasa Huria
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetahadharishwa kujiepusha na hulka ya kuwapokea wanachama wanaotoka Upinzani, badala yake kijikite katika siasa za ukombozi zinazogusa ustawi wa maisha ya watu. Mhadhiri katika Idara ya Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),…
UWT ‘Ilivyomkuna’ JPM Wakati UVCCM Ikimsononesha
Mikutano ya uchaguzi kwa jumuiya mbili za Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanyika mkoani Dodoma wiki iliyopita, yote ikihutubiwa na Mwenyekiti wake, Rais John Magufuli. Jumuiya ya Wanawake (UWT) ikafanya mkutano wa uchaguzi uliomchagua Gaudencia Kabaka kuwa Mwenyekiti, wakati Kheri James…
Ndugu Rais Tumeipuuzia Asili Aasa Tunawayawaya
Ndugu Rais, Tanzania kama sehemu nyingine ya Afrika tulikuwa na mambo mengi sana ya asili ambayo tumeyatelekeza baada ya wakoloni kuja kutuamulia yapi tuyaendeleze na yapi tuyatupe kabisa. Ni kweli sikumbuki ni lipi la asili ambalo wakoloni walituachia wakitutaka tuliendeleze….
Tusiwasahau Wapalestina
Juma lililopita Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza uamuzi wa serikali yake kuhamisha ubalozi wa nchi hiyo Tel Aviv kwenda Jerusalem. Ni hatua inayotokana na tamko kuwa serikali yake imetambua rasmi kuwa Jerusalem ni makao makuu ya Israel. Ni hatua…
Hakuna Uzalendo wa Hiari
Namwona Deodatus Balile kwenye Malumbano ya Hoja (ITV). Anajitahidi kueleza, lakini inshangaza sana baadhi ya wasemaji kunadi kuwa uzalendo ni suala la hiari! Heee, ajabu sana! Uzalendo unajengwa tena kwa gharama kubwa -tutake tusitake- siyo suala la mtu kuzaliwa na…
Antonio Guterres ni nani?
Ni wazi sasa Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno, Antonio Guterres, ndiye Katibu Mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa. Anatarajiwa kuanza kazi rasmi Januari 2017 Katibu Mkuu wa sasa, Ban Ki-moon atakapomaliza muda wake. Kwa sasa, kiongozi huyo anasubiri kuthibitishwa…