JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Uhuru, Mapinduzi na Muungano ni muhimu kwetu

Watanzania tuliadhimisha miaka 58 ya Uhuru jijini Mwanza, Disemba 9, 2019, na Januari 12, 2020, wiki iliyopita tuliadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar mjini Unguja.  Hivi sasa tunajiandaa tena kuadhimisha miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ifikapo…

Yah: Ufaulu ni maendeleo kwa taifa letu

Salamu zangu za mwezi Januari lazima ziwe za upole, kwa sababu ni hizi Januari za miaka ya hivi karibuni ambazo zimekuwa zina matatizo mengi kwa kizazi hiki.  Sina hakika na sababu zake, lakini labda ni kwa sababu watu hawalimi au…

Mafanikio katika akili yangu (14)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Fatuma muda huo alikuwa yumo njiani na Zawadi dada yake Noel wakitembea kuelekea ofisi za ofisa utamaduni wa mkoa ili kuangalia namna ya kusajili kampuni yao ya mitindo waliyokuwa wanataka kuianzisha. Sasa endelea……

Uamuzi wa Busara (7)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi Mwalimu Julius Nyerere alivyofanya uamuzi muhimu  wa kujiuzulu nafasi ya uwaziri mkuu wa nchi kwa lengo la kuwapa moyo wananchi. Zaidi alijiuzulu nafasi hiyo ya uongozi ili wananchi wapate…

Kwa nini Ikimba inafaa kuwa wilaya inayojitegemea

Katika mabishano kuhusu ni wapi panafaa kuwa makao makuu ya Wilaya ya Bukoba Vijijini, zipo hoja mbalimbali. Lakini ipo moja iliyo kuu ya kwa nini wananchi wa Bukoba Vijijini wanapendelea makao makuu ya wilaya yao yawe katika eneo la Ikimba. …

‘DAWASA tumejipanga kuwatumikia Dar, Pwani’

Hivi karibuni Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya mahojiano na kipindi cha MIZANI cha Televisheni ya Taifa (TBC1). Katika kipindi hicho anazungumza masuala mengi kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi na majitaka jijini Dar es Salaam pamoja…