Category: Makala
Umuhimu wa wimbo katika jamii
Tangu zamani watu wamekuwa wakitumia shairi au wimbo kufikishiana taarifa inayohusu kitu fulani. Pia shairi au wimbo umetumika kama hifadhi ya maarifa, hekima na sifa ya mtu maarufu. Wasanii wa muziki, watunzi na waghani wa mashairi na ngonjera, waandishi wa…
Yah: Tunamhitaji zaidi Mungu
Tunauanza mwaka mwingine kwa bahati tu, tulianza nao wengi na wengine nusura tumalize nao lakini haikuwa hivyo. Si kwamba hawakuwa na nguvu, la hasha! Si kwamba hawakuwa na madaraka, la hasha! Vilevile si kwamba hawakuwa wajanja, bali neno lilitimia juu…
Mafanikio katika akili yangu (12)
Katika toleo lililopita sehemu ya kumi na moja tuliishia katika aya isemayo: “Noel, mimi ninaona utafanya mambo makubwa, wala usikate tamaa,” alisema profesa. Noel alikuwa amekaa kwa huzuni akiwa na mawazo tele, maana alikuwa akifikiria kuhusu umaskini aliouacha Tanzania. Umaskini…
Polepole: CCM kutawala hadi 2100
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaingia katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu kikiwa tayari kimekwisha kujihakikishia ushindi kwa asilimia 70 katika ngazi zote zitakazogombewa. “Kutokana na jinsi tulivyojipanga, hadi hivi sasa tuna uhakika wa asilimia 70 ya kura za urais…
KIJANA WA MAARIFA (9)
Jifunze zaidi uongeze uzalishaji Katika chuo kimoja cha kujifunza karate lilitolewa tangazo la vijana waliopenda kujiunga na kozi ya karate wafanye usajili na kuanza kozi hiyo katika mwaka mpya wa masomo. Wolfgang akiwa kijana aliyehitimu masomo ya uzamili alikuwa ni…
Uamuzi wa Busara (5)
Katika sehemu ya nne tuliishia katika aya isemayo: Kama serikali ingelikubali azimio hilo lililobadilishwa, Dar es Salaam pasingekuwa na uchaguzi mwaka 1958. Ndiyo kusema Mwalimu Nyerere angeendelea kukaa katika Baraza la Kutunga Sheria kwa kuteuliwa na gavana ingawa baraza hilo…


