Category: Makala
KIJANA WA MAARIFA (7)
Ukijifunza, fundisha Kufahamu mambo bila kuifundisha familia yako ni kuiacha familia hiyo iangamie. Kufahamu mambo bila kuifundisha jamii yako ni kuiacha jamii hiyo ipotee. Kufahamu mambo bila kulifundisha taifa lako, ni kuliacha taifa hilo lipotee. Ukijifunza, fundisha. Ukifahamu mambo,…
Uamuzi wa Busara (3)
Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha Uamuzi wa Busara, tulisoma kuhusu uamuzi wa TANU kwenda Umoja wa Mataifa (UNO). Wajumbe wa Kamati Kuu ya TANU waliandika ujumbe kwa wajumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa waliotumwa nchini kuja kuchunguza hali…
Gawio kwa Serikali ni msingi wa ujenzi wa nchi
DAR ES SALAAM NA JOVINA BUJULU, MAELEZO Hivi karibuni Rais John Magufuli aliwakaribisha wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za umma katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kutoa mchango wao kifedha kwa serikali. Michango…
Dawati la Jinsia na Watoto Butiama lazua vigelegele, miguno
Na G. Madaraka Nyerere Mwishoni mwa mwezi uliopita nilihudhuria ufunguzi wa jengo jipya la kituo cha Dawati la Jinsia na Watoto kwa Wilaya ya Butiama. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro. Wengi walizungumza ingawa…
Mungu anaongea kupitia mazingira (1)
Kila mtu anapaswa kufurahi na kujivunia mazingira anayoishi. Tunapaswa kukuza ndani yetu uwezo wa kushangaa, kufurahia na kumshukuru Mungu kwa kazi nzuri ya uumbaji. Tukazane kumwona Mungu kupitia viumbe vyake kwa kuviona kuwa vinawakilisha sura ya Mungu. Tukiona kujifunua kwa Mungu…
Mtume Muhammad (S.A.W) ni mfano mwema wa kuigwa
Makala yetu leo inaangazia Sura ya 33 (Surat Al-Ahzaab), Aya ya 21 katika Quraan Tukufu ambapo Mwenyezi Mungu Mtukufu anatuambia kuwa: “Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema (mfano mwema) kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anayemtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya…


