Category: Makala
Je, umemdhamini mtu kuchukua mkopo na mali yako inataka kuuzwa?
Ni kawaida mali za wadhamini kutaka kuuzwa au kuuzwa pale waliowadhamini wanaposhindwa kurejesha mikopo. Huwa inauma, kwa sababu wakati mwingine mdhamini hakufaidika na mkopo, ila tu aliamua kumsaidia ndugu, rafiki, jamaa ili akope, asonge mbele, ila baadaye inakuja kuwa hivyo….
Muhtasari wa kitabu cha Rais Mkapa
Mtoto Benjamin William Mkapa, alifundishwa kupika chakula na mama mzazi, Stephania, akiwa mdogo. Alipokwenda shuleni hapo kijijini Lupaso, Ndanda na hatimaye St. Francis Pugu na Makerere, alifundishwa kupika, kufinyanga, kubuni na kuchambua mawazo na kuyaweka sawa kama msomi mbunifu na…
Jiulize maswali kila asubuhi
Unapoamka asubuhi kutoka kitandani unajiuliza swali gani? Unapomsikia jogoo akiwika alfajiri unajiuliza nini? Je, kila asubuhi unajiuliza kuhusu hatima ya maisha yako? Kila asubuhi imebeba ujumbe wa maisha yako. Kila asubuhi Mungu anakuambia: “Nimekuamsha salama mwanangu mpendwa. Ninakupenda sana. …
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (6)
Fursa hazipotezi muda zikikutana na wale ambao hawajajiandaa, zinapita. Fursa ikikutana na maandalizi kwa pamoja vinazaa bahati. “Nitajiandaa na siku moja fursa yangu itakuja,” alisema Abraham Lincoln. Kutojiandaa ni kuharibu furaha ya kesho, kutojiandaa ni kujiandaa kuyapa mgongo mafanikio. “Kwa…
KIJANA WA MAARIFA (2)
Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo la muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu. \ Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda….
Ana kwa ana na Rais Nyerere (5)
Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa magazeti, David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika Gazeti la Kiingereza, New Internationalist, toleo la Mei, 1973. David Martin ni…