JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Jamii ikatae uzinifu, ikuze maadili

Kijana mmoja alimwendea Mtume Muhammad (Allaah Amrehemu na Ampe Amani) akamwambia: “Ewe Mtume wa Allaah, nipe idhini ya kuzini.” Watu wakamzunguka na kuanza kumuonya. Vipi anamuomba Mtume wa Mwenyezi Mungu ruhusa ya kufanya maasi? Mtume akawaambia: Hebu mleteni karibu yangu. Yule kijana…

Mawaziri na ‘majipu kwapani’

Mpita Njia (MN) anakumbuka alipokuwa mdogo mama yake alimwambia kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mtu yeyote mpe kimoja, viwili au vyote kati ya hivi: pesa, pombe au madaraka. Kwa umri alionao Mpita Njia, hahitaji ushuhuda wa maneno hayo ya…

NINA NDOTO (40)

Ndoto inahitaji uthubutu “Ili uwe mtu ambaye hujawahi kuwa lazima ufanye mambo ambayo hujawahi kuyafanya,” anasema mhamasishaji Les Brown. Kufanya mambo ambayo hujawahi kufanya ni kuthubutu. Kamusi ya Kiswahi Sanifu (TUKI) imetafsiri neno “thubutu” kwamba ni kuwa na ujasiri wa…

Ana kwa ana na Rais Nyerere (3)

Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa gazeti, David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika Gazeti la Kiingereza, New Internationalist, toleo la Mei, 1973.  David Martin ni…

Dar tunahitaji mapafu ya uhakika tupumue vizuri

Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu, Muumba wa Mbingu na Dunia na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Kipekee alituumba sisi wanadamu tumiliki na kuvitawala vyote: majini, nchi kavu na angani. Ndiyo maana baadhi ya mataifa yenye nguvu kiuchumi yanathubutu kwenda kuchunguza…

Dini ya Uislamu ni tabia njema

Umepata kujiuliza vipi utamtambua Muislamu anayeutekeleza Uislamu? Unamtambua Muislamu kwa kuvaa kanzu na kofia? Yumkini, lakini kuvaa kanzu na kofia si sifa bainifu ya kumtambua Muislamu kwa kuwa kanzu na kofia ni vazi tu lenye asili ya jamii mbalimbali kwa…