Category: Makala
Yah: Barua ya wazi kutoka kuzimu (1)
Kama wiki moja hivi imepita tangu nipitiwe na usingizi mzito kama ule wa kutolewa ubavu mmoja ili kumuumba mwanadamu mwenzangu uliponikumba katika mazingira ya ajabu, ningeweza kujiita majina ya ajabu ambayo wengine wamejibatiza huku wakijua hawakupata nafasi ya kuota kama…
Mafanikio katika akili yangu (4)
Katika toleo lililopita sehemu ya tatu tuliishia aya isemayo: “Leo sijaonana naye hata kidogo,” alisema rafiki yake Noel akiwa anasogea na kuegemea mtini. “Shule ni ngumu sana?’’ alihoji Mama Noel. Sasa endelea… Japo kuwa kwao Noel kulikuwa ni mjini lakini…
NINA NDOTO (37)
Wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda Wivu ni hali ya kutofurahia kwa kumuona mwenzio akiwa na mtu au kitu. Wivu ni hisia yenye nguvu inayoweza kumfanya mtu ahisi hangaiko, huzuni au awe na hasira. Waswahili wamelipa neno ‘wivu’ majina mengine…
Tuitumie SADC tusonge mbele
Nianze mada hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye sina wa kumfananisha naye kwa kutujalia zawadi ya uhai na kwa mema mengi anayotujalia kila siku. Kipekee namshukuru Mungu kwa kuwezesha Kikao cha Kawaida cha 39 kwa nchi wanachama 16 wa Jumuiya…
MIAKA 60 NGORONGORO
NCAA yawezesha kina mama wajasiriamali Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeanzishwa kisheria kama eneo la matumizi mseto ya ardhi ikiwa na dhima tatu kuu. Dhima hizo ni Uhifadhi wa maliasili katika Eneo la Hifadhi; Kuendeleza wenyeji na shughuli zao…
Uvuvi bahari kuu bado tatizo Tanzania
Wakati serikali ikiwa na takwimu za samaki kwenye maziwa, hali ni tofauti kwenye eneo la bahari kuu ambako sensa haijafanyika ili kutambua rasilimali hizo ambazo tangu Tanzania ipate uhuru hazijawahi kuvunwa wala kutambuliwa kwa idadi halisi. Katika kikao kazi baina…




