JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tuache unafiki kuhusu haki za wanawake

Kumbe muda wote nilikuwa sikielewi kile kinachoongelewa kuhusu haki za kina mama, nimekuwa nikijiuliza ni kitu gani kinachoitwa haki za wanawake? Muda wote nimejiuliza ni haki gani zinazodaiwa na wanawake?  Sikupata jibu! Sababu niliamini kwamba wanawake wanapata haki zao kulingana na…

Haijapata kutokea!

Ule usemi kuwa ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni nadhani una mantiki. Duniani mishangao inatokea kila leo. Nani alifikiria mwanasiasa kama Nape Nnauye atakuja kuomba msamaha? Kwa kosa lipi? Na kwa dhamira gani? Mimi nilipigwa butwaa pale jioni Jumanne ya…

Tusilazimishwe kumshutumu Robert Gabriel Mugabe

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Alisemwa na atasemwa sana, si kwa mema ila kwa mabaya. Nianze na mabaya yake. Aliongoza Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 baada ya uhuru wa nchi hiyo akiwa amerithi uchumi…

Ukweli kesi ya Mzungu na Airbus yetu (2)

Toleo lililopita tuliishia aya isemayo: “Mahakama ilikubali hoja hii ya Wakili Erick na kumpa ushindi kwa hoja hii. Kumbuka huyu Erick ndiye anayetajwa kuongoza mchakato wa kuzuiwa kwa Airbus Afrika Kusini.” Sasa endelea… Kukamatwa ndege Baada ya maombi ya serikali kutupwa kama…

MAISHA NI MTIHANI (46)

Ukibadili maana ya maisha unabadili maisha yako Maana ya maisha ni mtihani. Ukiyapa maisha maana ya kuishi, utabadili maisha yako. Maisha ni kuishi. “Tunaishi mara moja, lakini mara moja ukiitendea haki inatosha,” alisema Joe E. Lewis. “Ukitaka kuaga dunia ukiwa…

Mafanikio katika akili yangu

Hiki ni kitabu ambacho kimesheheni matumaini, motisha pamoja na hamasa kwa vijana ambao waliona uthubutu katika maisha yao. Mwandishi ameamua kufikisha ujumbe kwa vijana ili kuwapa moyo na faraja, pia kitabu hiki kimezungumzia maisha halisi ya mwandishi wa kitabu hiki….