JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tusiache viwanja vya Jangwani vitoweke

Uwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam umebeba historia muhimu katika taifa letu. Mikutano kadhaa kipindi kile cha harakati za kudai Uhuru ilifanyika hapo. Jangwani imeendelea kujizoea umaarufu hata baada ya Uhuru. Mikutano mingi mikubwa imeendeshwa Jangwani. Mikutano ya kisiasa…

Tuwe macho katika uchumi wetu 

Kuna njama za kuhujumu utu wa mtu na uchumi wa Mkoa wa Morogoro. Njama ambazo zinatekelezwa usiku na mchana na baadhi ya watumishi wa umma wakishirikiana na vibeberu uchwara waliomo mkoani humo.  Mkoa wa Morogoro una ardhi ya rutuba kwa…

Yah: Urasimu kwa wasomi ni pigo

Kwanza napenda kuwashukuru wote waliotupatia pole ya msiba wa kijana aliyetoweka katika ulimwengu wa habari, mwenye nguvu ya kazi na mweledi wa kile alichokuwa akifanya. Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi na hatuna namna nyingine zaidi ya kushukuru kwa kila jambo.  Katika…

Mafanikio katika akili yangu (3)

Toleo lililopita katika sehemu ya pili tuliishia aya isemayo: “‘Dah! Biashara hii sasa mbona inaendelea kufilisika?’ aliwaza kichwa kikawa na msongo wa mawazo. Siku hiyo ilikuwa ngumu kwa Mama Noel kutengeneza pombe nyingine, kwa kuwa hakuwa na pesa hata senti moja….

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(36)‌

Nitaifanyia‌ ‌nini‌ ‌nchi‌ ‌yangu?‌ Kila kukicha, kila eneo ninakopita nasikia watu wakilalamika na‌kusema nchi yao haijafanya hiki, au serikali haijawafanyia kile. Lakini je, ni watu wangapi wanawaza kufanya kitu fulani kwa ajili ya nchi yao?‌ Ni mara ngapi umewaza kuifanyia…

Haya ndiyo malipo kwa wazalendo?

Januari 28, 2016: Wafanyakazi wa TanzaniteOne waliuandikia notisi uongozi wa mgodi huo kupitia Chama cha Wafanyakazi Mgodini (TAMICO) baada ya haki na masilahi yao kukiukwa na mgomo huo ulipaswa kuanza Februari 1, 2016. Hata hivyo mgomo huo haukufanikiwa baada ya…