JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(34)‌

Niongee lini, ninyamaze lini?   Baada ya kuandika makala yenye kichwa kisemacho: “Ukiwa na ndoto usipige kelele, kaa kimya,” katika Gazeti la JAMHURI, Toleo Na. 411 la Agosti 13-19, 2019 nimepongezwa na wasomaji kwa kunipigia simu wakiniambia kuwa makala hiyo…

Nje ya magereza wapo wanaoonewa

Hivi karibuni Rais John Magufuli kwa uwezo aliopewa na Katiba ya nchi aliwasikiliza wafungwa waliomo gerezani Butimba, Mwanza na kubaini kwamba wapo walioonewa na kuwekwa gerezani kwa njia za ukatili tu kama kukomolewa. Akaamuru waondolewe. Hiyo ni hali ya utu…

UJUMBE KUTOKA IKULU

HOTUBA YA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA MAZUNGUMZO NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA, IKULU, DAR ES SALAAM,  TAREHE 30 AGOSTI 2019   Ni heshima kubwa kwangu…

BURIANI KOMREDI IBRAHIM MOHAMED KADUMA

‘Kikitokea chama kama CCM ya Nyerere kitatawala milele’   Mwaka 2012 Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano maalumu na mzee Ibrahim Kaduma nyumbani kwake Makongo Juu, Dar es Salaam. Tunaleta sehemu ya mahojiano hayo kama tulivyoyachapisha wakati huo. Mzee Kaduma alifariki…

Bandari: Usalama wa mizigo 100%

Miaka michache iliyopita, Bandari ya Dar es Salaam ilikuwa na changamoto ya usalama wa mizigo ya wateja. Mhandisi Deusdedit Kakoko alipoteuliwa Juni 25, 2016 kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), aliahidi kuimarisha ulinzi na kuondoa udokozi bandarini….

Wanaiingiza nchi katika machafuko wakisingizia wanakupenda

Ndugu Rais, walituambia kukaa kimya ni kukubali yote; bali kukemea yasiyofaa ndiyo busara na hekima ya kiongozi bora. Watu wako baba wanakupenda kama walivyowapenda marais wengine waliokutangulia. Sasa huu wasiwasi unatokea wapi? Watu wamejaa wasiwasi mwingi katika macho yao. Wasiwasi…