Category: Makala
Tusibweteke kwa elimu bure
Julai 3, mwaka 1964 Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alizungumza na watoto katika Ikulu ya Dar es Salaam. Kupitia mazungumzo hayo, alizungumza pia na watoto wote nchini kwa njia ya redio. Aliwaeleza watoto wajibu walionao kwa wakati huo,…
SADC inaweza, twendeni pamoja
Kuundwa kwa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) miaka 27 iliyopita ni kitendo cha ukombozi kwa Mwafrika. Ni ukombozi wa kisiasa, kiuchumi na kitamaduni. Unamtoa katika unyonge na umaskini na kumpeleka katika uwezo wa kuwa tajiri…
Yah: Ugeni umetukumbusha mambo mengi
Japo ni vigumu kukubali maelezo ya sasa kutoka katika kizazi kipya, nina kila sababu ya kuwasimulia maisha halisi ambayo sisi tuliishi kwa wakati wetu, hasa nyakati za nguo moja na sabuni za foleni katika duka la ushirika au la kijiji….
NINA NDOTO (31)
Hesabu baraka zako Ukiwa na ndoto si kila kitu unachokifanya kitaleta matokeo unayotarajia. Ni jambo jema kuwa na matarajio makubwa, lakini ni vema pia kuwa na moyo wa kustahimili. Moyo wa ustahimilivu ndiyo huwafanya wenye ndoto waendelee kubaki katika…
MAISHA NI MTIHANI (42)
Nani ataomboleza utakapoaga dunia? Kifo ni mtihani. Kuna aliyesema dunia ni mahali pa hatari sana, hautoki ukiwa hai. Hadithi inapokuwa nzuri kwenye gazeti wanaikatisha na kuandika itaendelea toleo lijalo. Mtu anapoaga dunia ni Mungu anakatisha hadithi ya maisha yake,…
SADC imepata ‘chuma’
Jumuiya ya kimataifa pamoja na nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wanasubiri kuona mageuzi makubwa yatakayoletwa na Rais Dk. John Magufuli, ambaye ndiye mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo. Tayari katika hotuba yake ya kukubali majukumu yake…




