JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Istilahi za kisiasa zitumike vema

Mapinduzi, mageuzi na mabadiliko ni baadhi ya istilahi za kisiasa ambazo kiongozi wa siasa anazitumia katika kushawishi na kuhamasisha wanasiasa wenzake na wananchi kufanya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii katika nchi yao. Bayana iliyoko ni kwamba istilahi zote hizi zina…

Yah: Nguvu ya hoja kuwa nguvu ya haja

Nianze na salamu japo si lazima sana kwa kizazi hiki chenye akili nyingi zisizokuwa na matokeo chanya kwa maendeleo ya taifa lao, najua nitalaumiwa sana kwa kauli yangu lakini ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili, nimeamua kusema ili…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (6)

Wiki iliyopita katika sehemu ya tano hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Lile limama lilinichukua likaniangalia kwa makini, likawa linasema: “Kanafanana nasi, umekapata wapi?” Lile litoto likasema: “Nimekaokota huko porini karibu na mpaka wa himaya yetu.” “Sasa unasemaje?” Lile limama likauliza…

Je, wajua Wazungu, Wahindi, Wachina wote ni weusi?

Sehemu hii ya pili ya maadhimisho ya miaka 60 tangu kugunduliwa kwa fuvu la binadamu wa kale la Zinjanthropus (Zinj) katika Bonde la Olduvai mkoani Arusha, wataalamu wawili wa mambokale – PROFESA CHARLES MUSIBA kutoka Chuo Kikuu cha Colorado, Marekani;…

NINA NDOTO (25)

Fanya kazi kwa bidii   Nyuma ya ndoto nyingi zilizofanikiwa kuna kufanya kazi kwa bidii. Kama haupo tayari kufanya kazi kwa juhudi sahau kabisa ndoto zako kutimia. Ukimuuliza kila mtu aliyefanya makubwa katika dunia hii, sentesi “fanya kazi kwa bidii”…

Pongezi Tumaini Media, eneeni nchi nzima

Ni jambo la kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa hatua iliyofikiwa na Tumaini Media kuanzisha matangazo katika Jiji na Mkoa wa Dodoma. Kupitia Tumaini Media tunapata huduma nyingi za kiroho, kimwili na kijamii, ikiwa ni pamoja na uinjilishaji, kuelimisha umma kuhusu…