Category: Makala
Yah: Hiki ni kizazi gani na tunaelekea wapi?
Kuna wakati huwa najiuliza, ni wapi ambapo tulikosea hii nchi yetu? Nchi iliyokuwa ya asali na maziwa katika uzalendo, maadili, uaminifu, utamaduni, mapenzi, upendo na mengineyo mengi tu. Najiuliza tuko wapi tulio hai mpaka leo na tunaojua ukweli wa asili…
Mkopaji kumfidia mdhamini wake mali ya mdhamini inapouzwa
Ni kawaida mali za wadhamini kuuzwa pale ambapo wale waliowadhamini wanaposhindwa kurejesha mikopo. Huwa inauma kwa sababu wakati mwingine mdhamini hakufaidika na mkopo, ila tu aliamua kumsaidia ndugu, rafiki, jamaa ili akope, asonge mbele, ila baadaye inakuja kuwa hivyo. Suala…
Kwenye msafara wa mamba, kenge wamo
Nawasifu sana wanaharakati kote duniani, ambao wanashikilia suala moja na kulipigania bila woga, bila kujali yatakayowakuta. Uanaharakati upo wa aina nyingi. Mtu yeyote anaweza kuwa mwanaharakati. Unaingia kwenye kundi hilo iwapo unajaribu kushawishi mabadiliko ndani ya jamii kwa madhumuni ya…
Tanzania inaelekea wapi?
Serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya uongozi wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ilifanya kazi kubwa ya kutuunganisha Watanzania ambao tunaishi kama ndugu bila chembe yoyote ya ubaguzi. Maisha yetu ya kupendana, kuthaminiana na kuheshimiana bila…
Mwanamke usipuuze maumivu ya kiuno, mgongo yasiyokoma
Wiki iliyopita nilipokea ujumbe mfupi kwa njia ya simu kutoka kwa Rose (si jina lake halisi), mmoja wa wasomaji wangu wa safu hii ukisema hivi: “Samahani daktari, mwaka mmoja uliopita nilipimwa na kugundulika kuwa nina uvimbe kwenye ovari ya kushoto….
Hauwezi kumfuga mbwa ukamkataza kubweka
Unapomfuga mbwa lazima atabweka tu, kwa sababu kubweka ni moja ya sehemu ya makuzi yake. Mimi ni mbwa niliyefugwa na taifa hili, ni lazima nibweke, siasa si uadui, isipokuwa hoja. Siasa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Mwanafalsafa Hegel anasema: “Binadamu…