Category: Makala
Watanzania tunahitaji kuongeza uelewa wetu wa sheria
Kwa siku chache juma lililopita nimetoa darasa fupi juu ya sheria ya kutunza kumbukumbu za waasisi wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na Sheikh Abeid Amani Karume. Hii sheria inajulikana kwa Kiingereza kama Founders of the Nation (Honouring Procedures) Act…
Wasanii wanaharibu utamaduni wetu
Leo nimeona nijiegemeze katika tasnia ya maigizo ya hapa Tanzania. Tangu kuwasili kwa utandawazi katika upwa wa Afrika Mashariki mwanzoni mwa miaka ya 1990s, kufunguliwa kwa milango ya soko huria, tasnia ya maigizo nayo haikuwa nyuma. Mabadiliko makubwa tukaanza kuyashuhudia…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 42
2. Mapokezi kuu Mapokezi Kuu ndiyo kitovu cha kupokelea wagonjwa wote wanaopelekwa Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi. Wagonjwa hao ni wale ambao maradhi yao yanahitaji utaalamu wa juu au vifaa vya kisasa ambavyo havipatikani hospitali nyingine zaidi ya Muhimbili….
Tanzania itajengwa na wenye moyo!
Jumamosi, Oktoba 22, 1966, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine jijini waliandamana kwenda Ikulu wakiwa na mabango yaliyoandikwa maneno machafu dhidi ya Serikali ya Awamu ya Kwanza iliyoongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bango moja…
Ndugu Rais, Makamba alituambia utatubatiza kwa moto
Ndugu Rais, Yusufu Makamba alipokuwa anahutubia Mkutano Mkuu wa CCM mjini Dodoma aliwaambia Watanzania kuwa, “Jakaya Mrisho Kikwete aliwabatiza kwa maji, lakini huyu (wewe baba), atawabatiza kwa moto!” Wanasema Bunge lililipuka kwa kushangilia wakati Rais mstaafu Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete…
Mtoto ni malezi, tutoe malezi bora
Mwanafalsafa William Arthur Ward anasema, “Shukrani inaweza kubadili siku za kawaida kuwa siku za shukrani, kubadili kazi za kila siku kuwa furaha, na kubadili fursa za kawaida kuwa baraka”. Kwa msingi huo, nawashukuru wasomaji wangu wote wa makala ya wiki…