Category: Makala
Yah: Ndoto yangu usiku wa manane katika kirago chakavu
Nimelala usingizi wa taabu na mawazo mengi yasiyo na tija, ninawaza kesho nitakula nini, ninawaza wanangu wataendaje shule siku ifuatayo, si kwa vile nalipa ada, la hasha, kwa vile hawana kifungua kinywa, hawana madaftari wala kalamu, mama chanja ananikumbusha madeni…
Unafsi unavyoleta matatizo Tanzania – 2
Wiki iliyopita katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilinakili baadhi ya maandishi kutoka kijitabu ‘TUJISAHIHISHE’, kichoandikwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kuhusu unafsi unavyovunja madhumuni ya umoja wa kundi lolote la binadamu. Shabaha za kunakili maandishi yale ni…
Tupunguze waheshimiwa Tanzania
Neno ‘mheshimiwa’ limekosa heshima inayokusudiwa. Ni tatizo linalotokana na ukarimu mkubwa uliopo Tanzania uliosababisha kuwapo kwa idadi kubwa ya ‘waheshimiwa’ wa kila aina. Kwenye kamusi neno hilo lina maana ifuatayo: “neno la heshima linalotamkwa kabla ya kutaja jina la mtu…
Mawasiliano serikalini changamoto
Rais John Magufuli amefuta agizo la kutofungishwa ndoa kwa watu wasiokuwa na vyeti vya kuzaliwa kuanzia Mei mwaka huu lililotolewa mwishoni mwa wiki iliyopita na Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe. Rais Magufuli amewatoa hofu Watanzania na kuwataka…
Ndugu Rais umasikini wa Tanzania ni kama wa kulogwa
Ndugu Rais, yanayoandikwa katika ukurasa huu hayalengi kumpendeza mtu wala kumchukia mtu. Nchi yangu kwanza ndiyo dira; watu, vyama vya siasa na mengine baadaye! Hachukiwi mtu hapa kwa sababu imani ya ukurasa huu ni kwamba kila mtu ameumbwa kwa mfano…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 37
Uvuvi ni vurugu tupu B: Idara ya Uvuvi 697. Samaki ni moja ya maliasili muhimu kwa afya na uchumi wa taifa. Samaki wanapatikana katika mito, maziwa, mabwawa na baharini. Kwa kuzingatia umuhimu wa maliasili hii serika ilitunga sheria ya…