JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Hisani imepotea, tuirejeshe

Ihsani (hisani) ni neno muhimu sana kwa binadamu akitambua maana na matumizi yake.  Ihsani ni moyo wa kumtendea mtu mema. Hii ni pamoja na kumhifadhi, kumkarimu na kumfanyia mtu jamala. Unapomtendea mtu hisani, si vyema kumtangaza au kumsimanga mbele ya…

Idi Amin katuletea vita na mshikamano

Siku kama ya leo, miaka 38 iliyopita, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), likishirikiana na wapiganaji wa Uganda waliokuwa wanapambana dhidi ya majeshi ya Uganda waliteka Jiji la Kampala na kusambaratisha majeshi ya Idi Amin. Serikali ya Amin…

Soko la pamoja EAC bado tatizo

Wakati idadi ya wananchi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inasadikiwa kufikia watu milioni 160, baadhi ya mikoa iliyounganishwa katika miundombinu ya barabara inashindwa kulifikia soko hilo. Baadhi ya mikoa hiyo ni pamoja na Singida, mkoa unaozalisha alizeti pamoja…

Tujisahihishe – 1

Umoja wa kundi lolote ni sawa sawa na umoja wa viungo mbalimbali vya mwili au mtambo. Viungo vya mwili havina budi vitii kanuni zinazoviwezesha kufanya kazi yake sawa sawa. Lakini haviwezi kutiii kanuni hizo kama haviko katika hali ya afya…

Muhimu kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la Arusha?

Kujisaili na Kujisahihisha: Mafunzo ya Watu wa Cuba juu ya Kutupwa kwa Azimio la Arusha “Ujamaa utabaki kuwa tumaini na njia pekee kwa wanyonge kujikomboa. Leo, wakati maadui wa Ujamaa wakieneza propaganda dhidi ya Ujamaa, tunapaswa kuulinda na kuutetea zaidi…

Mgogoro wa Israel na Palestina -13

Tumeona katika utangulizi wa makala hii ndefu ya kwamba wakati mipango ya Serikali ya Uingereza kwa ajili ya hali ya baadaye ya Serikali Palestina iliposhindwa kufua dafu dhidi ya kampeni ya Wazayoni ya Mabavu, mnamo 1947 iliamua kulikabidhi suala hili…