Category: Makala
Unafsi unavyoleta matatizo Tanzania
Tanzania haiwezi kuendeshwa kupata maendeleo mazuri iwapo viongozi wake ni watu wenye unafsi katika kuyaendea maendeleo ya dunia, kama kanuni za sayansi zinavyotaka na imani ya Muumba wetu inavyotaka na inavyoagiza katika kuyakabili mazingira yetu nchini. Ifahamike kwamba Tanzania ni…
Wakati wa Afrika kushika hatamu unawadia
Mwenendo wa takwimu za kuzaliwa watoto duniani zinaashiria kuwa Bara la Afrika litakuwa na vijana wengi zaidi kuliko maeneo mengine ya dunia ifikapo mwaka 2050. Ni suala ambalo linatoa fursa na wajibu mkubwa kwa Bara la Afrika katika uhusiano wa…
Madhara ya kuacha ujamaa Tanzania
“K una namna tatu za kuendeleza usawa (Ujamaa) zaidi nchini mwetu. Kwanza ni kupunguza tofauti ya kipato baina ya watu. Ya pili ni jinsi huduma (afya, elimu nk) za jumuiya zinavyomfikia kila mtu, na kiasi ambacho huduma hizo ambazo hugharamiwa…
Ni hatari kuua biashara
Leo nimeona niandike mada inayogusa maisha ya kila Mtanzania – biashara. Naandika mada hii kutokana na mwenendo usioridhisha unaoonesha kuwa biashara nyingi hapa nchini zinakufa. Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa Tanzania ni taifa la wakulima na wafanyakazi. Ni kwa…
Makala: Tunamaliza mgogoro Mbarali
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala, amesikiliza kilio cha wananchi na kuanzisha mchakato kufuta Tangazo la Serikali Na. 28 la mwaka 2007 lililoweka mpaka mpya kati ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha iliyopo chini ya Mamlaka ya Hifadhi za…
Mtaji sekta ya kilimo kikwazo cha uchumi
Serikali imetakiwa kuangalia kwa mapana sekta ya kilimo pamoja na kukubali kufanyia kazi kwa vitendo ushauri unaotolewa na wataalamu wa kilimo na uchumi kwa ajili ya kufanya maboresho katika sekta hiyo. Kutokana umuhimu wa kilimo katika kufanikisha Tanzania ya Viwanda….