JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mchele una chuya na chenga – 2

Mpunga unapotaka kuupata mchele wake lazima uutwange. Kamwe usitarajie kupata mchele bila ya chuya na chenga baada ya kutoa pumba. Vyama vyetu vya siasa vinafanana na mpunga. Iwe CCM, CUF, ACT-Wazalendo, TLP, Chadema na kadhalika vina mchele, chuya na chenga….

Yah: Huu ndiyo Mwaka Mpya usio na tofauti na uliopita

Leo tuna siku ya tatu baada ya Mwaka Mpya kuanza. Wapo ambao labda walikuwa na mipango mbalimbali waliyopanga wangefanya mwaka huu lakini isivyo bahati hawakuweza kufika kwa mapenzi yake Mola – mwenye kutoa rehema zake ndogo na kubwa. Leo ni…

Upo umuhimu wa kuweka nadhiri za Mwaka Mpya

Desturi ya kuweka nadhiri mwanzoni mwa mwaka ni desturi yenye chimbuko la desturi za kale za jamii za magharibi, na hata zile za bara Asia. Inasemekana Wababeli, wakazi wa kale wa eneo ambalo sasa ni Iraq, walikuwa na desturi mwanzoni…

Uchaguzi Ghana somo kwa upinzani Tanzania?

Demokrasia ya Afrika imezidi kumea na kuchukua mwelekeo mpya kwa kuendelea kuibua taswira mpya ya tafsiri ya demokrasia na utawala bora, tangu kuibuka kwa wimbi la upepo wa mageuzi kwenye utawala wa kidemokrasia kupitia sanduku la kura kwa nchi nyingi za Afrika kama vile…

Mgogoro wa Israel na Palestina -1

Mzozo kati ya Israel na Palestina ni wa muda mrefu. Ni mzozo ambao umesababisha Wapalestina kuwa walemavu na wengi kupoteza  maisha. Ni mzozo ambao vilevile raia wa Israel na wanajeshi wamepoteza maisha.  Ni mgogoro ambao mataifa ya Magharibi yameshindwa kusuluhisha huku…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 27

Z’bar inaiyumbisha TRA   1.     Sukari (a)  Bill of Landing No. 3 & 4 (Inv. No. ETL/1300C/95 Metric Tons 2,000 (b) Bill of Landing No. 5 & 6 (Inv. No. ETL/1300D/95 Metric Tons 2,000 (c)  Bill of Landing…