JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

‘Siri ya utajiri wa Dk. Kigwangalla’

Nimeanzisha utaratibu wa kuandika ujumbe wenye kuhamasisha mabadiliko ya kifikra kwa vijana wa nchi yetu. Sababu ikiwa ni imani yangu kubwa kwamba hizi ni zama zetu kuchukua majukumu ya kuongoza mageuzi kwenye kila eneo la maisha ya jamii yetu. Kwenye…

Kuwafukuza, kuwashusha vyeo walimu ni kuwaonea

Ualimu ni kada muhimu kweli kweli kwa maendeleo ya jamii yoyote. Taifa linaloipuuza kada hii halina mwisho mwema. Matokeo ya kidato cha nne nchini yaliyotolewa wiki iliyopita, yamepokewa kwa mitazamo tofauti. Shule binafsi zimeendelea kung’ara dhidi ya shule za umma….

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza

Chema chajiuza kibaya chajitembeza ni methali kongwe katika lugha yetu ya Kiswahili. Ni methali iliyojaa hekima na ushawishi mkubwa wa kupambanua kitu au jambo zuri na bora, au baya na dhaifu. Waswahili hutumia methali hii katika kupima mwenendo wa binadamu…

Yah: Matamko na athari katika jamii ni vita ya maneno

Kuna raha ya matamko unaposikia na hasa kama tamko limetoka kwa anayestahili kutoa tamko ili lifanyiwe kazi, raha ya tamko ni pale linapotekelezeka pasi na kuingiza ujanja wa mjini wa kucheza na maneno. Leo tunashuhudia na kusikia matamko kutoka kwa…

Mgogoro wa Israel na Palestina -6

Wiki iliyopita tulishuhudia Serikali ya Uingereza ikishindwa kutekeleza ahadi zake ilizozitoa juu ya Palestina kuwa taifa. Wiki hii unaletewa sehemu ya sita ya makala hii inayosimulia mgogoro wa Israel na Palestina. Endelea…   Baada ya Serikali ya Uingereza kuwa imeelemea…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 32

Rais, Waziri Mkuu waligawa fukwe MAPENDEKEZO   622. (i) Tatizo la Sheria zinzogongana Cap. 378, Cap. 390, Cap. 334. na Act  Na. 8 ya 1982 ni la muda mrefu. Tume inapendekeza ufumbuzi upatikane haraka. Aidha sheria zinazotumika sasa ziendelee kufanyiwa…