Category: Makala
Pengo la matajiri, maskini ulimwenguni ni tishio kwa wote
Shirika la Oxfam la nchini Uingereza limetoa taarifa hivi karibuni kubainisha kuwa watu 62 duniani wanamiliki zaidi ya nusu ya utajiri unaomilikiwa na nusu ya watu katika sayari hii. Watu 62 wanamiliki utajiri unaomilikiwa na watu 3,750,000,000. Oxfam wanatuambia kuwa…
Heri ya mchawi kuliko mwongo
Juma lililopita katika safu hii, nilizungumzia maneno mawili haki na batili. Haki inavyoelekeza jamii ya watu katika kweli, na batili inavyopotosha jamii hiyo katika dhuluma. Mgongano huo kifalsafa ubajenga hali ya ‘figisufigisu’ ndani ya jamii ya Watanzania. Leo naelekeza fikira…
Fursa katika malengo endelevu kisekta
Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, inaendelea na mchakato wa kuelimisha na kuhamasisha umma kuhusu utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Uelimishaji na uhamasishaji unatekelezwa kupitia warsha mbalimbali za kikanda zinazoendelea kufanyika hapa nchini. Lengo ni kuhakikisha wadau…
Mgogoro wa Israel na Palestina -4
Wiki iliyopita, makala hii iliishia kwa kuonesha kuwa Wazayuni waliitumia vyema bahati ya mtende – juu ya kufunguliwa kwa milango ya Wayahudi kuhamia Palestina – na ndani ya robo karne idadi ya Wayahudi iliongezeka mara kumi zaidi. Je, unafahamu nini…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 30
SMZ imeibiwa mabilioni 576. Benki Kuu yaTanzania ibuni mbinu za kupunguza matumizi ya fedha taslim katika uchumi wetu. Sheria zote muhimu zifanyiwe marekebisho ili kuwabana wale wote wanaolimbikiza fedha majumbani mwao. 577. Kampuni au biashara inaposajiliwa, wanaohusika na…
Hotuba ya Rais Magufuli mkoani Simiyu
Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame, Waheshimiwa Waziri Hajji kutoka Zanzibar, Mheshimiwa Naibu Waziri Luhaga Mpina, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa, Mheshimiwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Simiyu, Waheshimiwa wabunge wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo…