JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tutumie mitandao kwa faida

Katika orodha ya uvumbuzi muhimu katika karne ya ishirini hakuna ubishi kuwa mtandao wa Intaneti utakuwa miongoni mwa uvumbuzi muhimu zaidi kwenye orodha hiyo. Kupitia matumizi ya mtandao, binadamu wameweza kuharakisha kasi ya maendeleo kwa kiasi kikubwa si tu kwa…

Yatakayomkwamisha Rais Magufuli – 4

‘Uongozi ndiyo unaozaa utawala’   Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji vitu vinne – watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Utandawazi umetuletea wimbo mpya unaosisitizia utawala bora. Wazungu wametupotosha kwa mara yanyingine, wametuaminisha kwamba tunaweza kuwa na…

Majibu: Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo (1)

Tafadhali rejea mada yangu ya “Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo”uliyoitoa katika Gazeti la JAMHURI la tarehe 6 – 12, 2016. Nilipata maoni kutoka kwa wananchi na wasomaji wako kadhaa. Wengi wao walikubaliana na fikra za mada husika. Hata…

Ndugu Rais kipi kianze?

Ndugu Rais, Mwenyezi Mungu alipotuumba sisi wanadamu hakutuumba kwa bahati mbaya! Alikuwa na makusudi yake! Wala hakutuumba kwa ajili yetu, bali kwa utashi wake! Kwa kuwa hakuna aliyeumbwa kwa bahati mbaya, basi kila aliyeumbwa, ameumbwa ili atimize kusudi la Muumba…

Kejeli, vijembe vyatawala mdahalo wa urais Marekani

Joto la uchaguzi nchini Marekani linazidi kupanda kufuatia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba, mwaka huu huku kukiwa na ushindani mkubwa kati ya mgombea wa chama cha Republican na Democratic. Wagombea wa pande zote mbili – Hillary Clinton wa Democratic na Donald…

Sudan yatuhumiwa kutumia silaha za maangamizi

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limedai serikali ya Sudan imekuwa ikitumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake katika eneo la Darfur na kusababisha vifo vya watoto 200 na kuacha watu wengine kadhaa katika hali mbaya…