JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

“Demokrasia siyo mchezo wa kutazamwa tu”

Katika uchaguzi wa Urais kule Marekani mwaka huu 2016, mjini Pheledaphia kulikuwa na zomeazomea wakati Chama cha Democrats kikimteua Hillary Clinton kuwa mgombea Urais wake. Rais Obama alisema hivi, “Don’t boo, vote” you’ve got to get in the arena …because…

Tuzidishe mapambano dhidi ya ujangili

Awali ya yote napenda nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua ambayo tumefikia katika kupambana na ujangili nchini Tanzania. Hakika ujangili umeshamiri sana katika taifa letu siyo tu kwa meno ya tembo peke yake bali hata kwa nyara nyingine za…

Katu ushoga haukubaliki Tanzania

Hivi karibuni, chombo kimoja cha habari nchini kimemnukuu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe, akisema kuwa Serikali haihitaji ushauri wala ushawishi wa chombo  chochote cha ndani ama nje ya nchi, kuhusu masuala ya ushoga na ndoa za jinsia…

Yah: Acha nizikumbuke enzi zetu, labda kwa hali hii zitashabihiana

Nakumbuka Lango la Chuma Mabibo bia ikiuzwa Sh. 18 yaani hii Sh. 100 ya sasa hivi unakunywa bia tano na chenji inarudi, maisha mazuri kwa mtumishi wa kila mahali, iwe serikalini au kwa mtu binafsi. Mshahara wa kima cha chini…

Magufuli ataijenga Tanzania ya viwanda chini ya mfumo upi?

Kimsingi, bado najadili kujitegemea kwenye makala mbili zilizopita. Nilibadilisha vichwa vya habari kutokana na tukio la Rais Magufuli kuwaalika wanahabari kuelezea mafanikio ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani. Katika kueleza changamoto zinazoukabili utawala wa Rais Magufuli, nilitoa mfano wa Nabii…

Maafa ya Kagera, kilio cha wanyonge kwa Rais

Mheshimiwa Rais, kwanza nakupongeza kwa mchango wako wa hali na mali katika kusaidia wahanga wa tetemeko lililoukumba Mkoa wa Kagera mwezi uliopita kwa nafasi yako kama Rais, na pia kwako binafsi.  Kutokana na uhaba wa nafasi ya makala, sitataja kila…