Category: Makala
Fursa kwa wabunifu chipukizi tasnia ya sanaa
Nimepata fursa hivi karibuni kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa atamizi ya sekta ya ubunifu katika nyanja za muziki, filamu, na mitindo iliyofanyika Dar es Salaam. Mradi huo, ambao unanuwia kunufaisha wadau wa tasnia ya sanaa waliopo ndani…
Rais Magufuli unaposonga mbele ukumbuke kuangalia tulikotoka
‘Jihadhari na ufumbuzi unaozalisha tatizo jipya’ Napenda Rais John Magufuli afanikiwe kisiasa na kiutawala, napenda aandike historia kama alivyoahidi aliposema na wahariri kwenye mkutano wake wa Novemba 4, 2016 pale Ikulu. Hata hivyo, kupenda peke yake na kumtakia mema…
Castro kisiki cha mpingo
Historia hutokea, na watunza kumbukumbu huziandika. Mbunge (sasa marehemu) wa Ulanga Mashariki (CCM), Theodos Kasapila, kila lilipotokea jambo kubwa alikuwa akisema; “Haijapata kutokea”. Hakika ni vyema na haki, nikiazima maneno ya Kapteni Kasapila kusema Fidel Castro, aliyekuwa Rais wa Cuba,…
Buriani Castro, wajamaa watakukumbuka
Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani, lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani. Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake kama kiongozi wa ujamaa, askari mwanasiasa ambaye aliirejesha Cuba mikononi mwa watu. Lakini alikabiliwa…
Ndugu Rais wasipokemewa hawa vijana taifa linaangamia!
Ndugu Rais maandiko yanasema katika nchi yoyote hapa duniani, wenye hekima na busara wakinyamaza, wapumbavu na wajinga huongezeka na nchi ikaangamia! Kwa udhaifu wake mwanadamu anajiuliza, kwanini basi katika kuumba ulimwengu Mungu aliumba na wajinga na wapumbavu na akawaweka katika…
Marekani kubadili sheria ya uchaguzi
Serikali ya Kenya ilitangaza hivi majuzi kuwa inaahirisha kwa muda wa miezi sita uamuzi wake wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Daadab iliyo karibu na mpaka wake na Somalia. Hapo awali Kenya iliamua kuanza kuifunga kambi hiyo mwishoni mwa Novemba…