Category: Makala
Yah: Hii ni ndoto mbaya sana lakini sina budi kuikubali
N awaza sana na huwa naona ni kama hadithi au ndoto iliyoisha muda wake, naona kama kumekucha ni asubuhi na mapema najinyoosha kitandani, ni ndoto mfu, ndoto ya mchana nikiwa macho natembea, ndoto ya kweli lakini alinacha, kuna uhalisia zaidi…
Kutii mamlaka tatu ni wajibu
Nakumbuka nilipokuwa mtoto na baadaye kijana, nilielezwa na kufundwa na wazazi na walimu wangu shuleni niwe na ulimi fasaha na niogope, nitii na niheshimu mamlaka kuu tatu duniani, ili niweze kuchukuana na mamlaka hizo pamoja na walimwengu wanao nizunguuka. Hadi…
Fidel Castro katoa mchango muhimu Afrika; tuisome historia
Ukisikiliza sehemu kubwa ya maoni ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi juu ya kiongozi wa Cuba Fidel Castro, utaafiki kuwa hana mchango wowote wa maana kwa binadamu wenzake. Inahijati kujikumbusha kidogo sehemu ya historia ya ukombozi wa Bara…
Rais Magufuli bado hujafunguliwa ukurasa wa jela ukausoma
Nilimsikiliza Rais John Pombe Magufuli aliposema na Askari Magereza pale Ukonga, pia nilikuwako gerezani Ukonga wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea gerezani na kutoa kauli tete “pasua raha ndani ya taabu.” Kikwete hakuwakusudia wafungwa mabaya isipokuwa aliukumbuka usemi walioutumia wapiganaji…
Gavana: Amana za mabenki trilioni 15.7
Dar es Salaam. Sekta ya fedha nchini hasa mabenki yametakiwa kubuni namna mpya ya kuwafikia wateja wengi zaidi ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuongeza amana, maana katika kila shilingi 100 inayotolewa na Benki Kuu, ni shilingi 40, ndiyo inaingia…
Afrika bara kubwa lenye changamoto nyingi
Kijiografia Bara la Afrika ni miongoni mwa Mabara sita yanayo unda Ulimwengu huu likiwa ni la pili kwa ukubwa wa maili za mraba zipatazo 11,700,000 sawa na asilimia 22% za eneo lote la dunia. Bara hili la Afrika linafahamika kama…