Category: Makala
Bila uamuzi mgumu Ngorongoro itakufa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) mwaka 2017 ilifanya Sensa ya Idadi ya Watu na Mifugo kwa watu wanaoishi katika Tarafa ya Ngorongoro. Sensa hiyo ilikuwa maalumu kufanyika katika Tarafa ya…
Mgombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya ACT -Wazalendo aahidi kuleta mabadiliko
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kushughulikia changamoto sugu zinazowakabili wananchi wa jimbo hilo, zikiwemo miundombinu mibovu, elimu yenye michango mingi na kero kwa wavuvi. Katika ziara yake kwenye kata za Msasani…
NLD imeweka vipaumbele vya kumwezesha kijana kujiajiri, yawaomba Watanzania wasifanye makosa Oktoba 29
Mgombea urais kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan, amesema chama chake kimeendesha kampeni za kistaarabu na kisayansi katika mikoa yote 26 nchini, akisisitiza dhamira ya serikali watakayoiongoza kuwa ya kumkomboa Mtanzania kiuchumi na kuwashauri kukichagua chama hicho ili kupata maendeleo….
Mradi wa Pwani Yetu na mbinu endelevu za uhifadhi wa bahari
Na Stella Aron, JamhuriMedia,Tanga Tanzania ina zaidi ya kilomita 1,400 za pwani pamoja na eneo la uchumi wa bahari lenyeukubwa wa takriban kilomita zamraba 223,000. Rasilimali hiikubwa ya bahari ni msingi muhimu wa shughui za kiuchumi kama vile uvuvi endelevu,…
Mafia yafungua soko huru la mwani, wakulima kunufaika
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, imesisitiza ushindani huru katika soko la mwani ili kumnufaisha mkulima, kuinua pato pamoja na kukuza uchumi wa wilaya hiyo . Kwa mujibu wa takwimu za mwaka wa fedha 2024/2025, mavuno…





