JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ni hofu au demokrasia?

“Demokrasia si sawa na chupa ya soda aina ya Coca- Cola ambayo unaweza kuagiza kutoka nchi za ng’ambo. Demokrasia inapaswa kujiongoza na kujiendesha kwa mujibu wa mazingira ya nchi husika.”  Maneno haya yalizungumzwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwezi Juni,…

Hata kwao Mohammed Ali wapo wachawi

Mwanamichezo na mwanamasumbwi mashuhuri Mohammed Ali ameugua kwa muda mrefu na kufariki hivi karibuni na tayari wanatafutwa wachawi wake.  Si uchawi ule tuliozowea kuusikia Waafrika lakini ni uchawi unaokuzwa na kushamiri kwa sababu binadamu wote asili yao moja na hata…

Hatunacho tena kisiwa cha amani

Sasa kwetu Tanzania ni mauaji tu kila mahali. Na kama hakuna mauaji basi utasikia vurugu bungeni, vyuoni na maeneo mengine. Ile sifa kwamba Tanzania ni kisiwa cha amani haiko tena. Kila mtu anaishi kwa hofu na wasiwasi. Mchungaji wa wanyama…

Ulinzi wa nchi yetu jukumu letu sote

Jeshi la Polisi, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, linapaswa kujipanga kikamlilifu kukabiliana na matukio ya mauaji yanayolikumba Taifa katika kipindi kifupi sasa. Leo nimekumbuka uzalendo wa nchi yetu miaka kadhaa iliyopita. Nimekumbuka uzalendo kwa maana ya kila…

Maisha yanaongozwa na malengo.

Maisha ni malengo. Hakuna maisha ya mkato. Ishi kwa malengo. Tusiishi kwa sababu tunaishi. Tuishi kwa malengo, kwa sababu Mungu ametuumba tuishi kwa malengo. Ungana na Henry James kuamini maneno haya; “Ni muda mwafaka wa kuishi maisha ambayo umeyafikiria kwa muda…

Ndugu Rais, Lila na Fila hazitangamani

Ndugu Rais wiki iliyopita nilikuomba unijalie nimzike Wilson Kabwe! Katika mrejesho nimepokea simu nyingi na ujumbe mwingi wa kutia moyo. Pamoja na upungufu wote tulioumbwa nao kama wanadamu, lakini tunapoandika tunachagua maneno kwa sababu lengo letu kubwa ni kujenga, si…