Category: Makala
Muungwana ni kitendo
Ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo. Hii ni methali chanya na tambuzi kwa mtu yeyote anayejisifu au anayetambuliwa ni muungwana. Muungwana ni mtu mwenye adabu na tabia zinazokubalika katika jamii; adinasi. Maana ya pili mtu asiye mtumwa. Kwa mujibu…
Uingereza waanza dhambi ya ubaguzi
Siku chache zilizopita Waingereza wamepiga kura kujitoa katika Muungano wa Nchi za Ulaya (EU), na haikuchukua muda, thamani ya pauni ya Uingereza ikaporomoka na kufikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu mwaka 1985. Zaidi ya asilimia 52 ya waliopiga kura walipiga…
Daladala zinavyosumbua wananchi
Nazungumzia daladala za Dar es Salaam. Kihistoria mpaka mwaka 1983 hakukuwa na mabasi ya abiria yaliyokuwa yakiitwa ‘daladala.’ Jina hili ‘daladala’ lilianza kutumika mwaka 1983. Mwaka 1983 Dar es Salaam ilikuwa na magari machache ya abiria. Watu wengi wakawa wanachelewa…
Kuwa ombaomba ni fedheha
Awali ya yote, nianze mada hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai aliotujaalia, mimi na wewe, kuweza kuwa hai hadi sasa. Naamini uhai tulio nao ni kwa neema ya Mungu maana wengi walitamani tuwe nao lakini haikuwezekana. Hivyo…
Maajabu ya Mbunge wa Karagwe
Katika hali isiyotarajiwa kwenye kizazi cha sasa, kizazi cha sayansi na teknolojia, kizazi kinachosifika kwa kuwa na maono mapana, Mbunge wa Jimbo la Karagwe (CCM), Innocent Bashungwa, amelishangaza Taifa na ndugu zangu Wanyambo. Bashungwa, kijana matanashati, mbunge kijana aliyepata fursa…
Mchezo mchafu vitalu Ziwa Natron
Mgogoro ulioibuka kati ya kampuni ya Wingert Windrose Safaris (Tanzania) Ltd (WWS) na Green Mile Safari Company Ltd (GM) unazidi kuibua maswali mengi baada ya kubainika kuwapo kwa mchezo mchafu ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Mchezo huo mchafu…